Ubora wa ligi haupimwi kwa uchache wa viporo japo naelewa point yako viporo mara nyingi huwa vinapelekea upangaji wa matoke ila yoyote kwa yoyote wezetu wametuzid vitu vingi sana kama wanauwezo wakusajili na kuuza wachezaji kwenye ligi kubwa barani ulaya ao sio watu wakujilinganisha nao kabisa tunasafari kubwa sana yakuwafika
Ahly walikuwa wnashiriki klabu bingwa dunia.. so mechi nyingi za ligi ziliwakuta wakiwa huko.. hata game Yao na Cr belouizdad ilikuwa kiporo sababu hiyo