battawi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 2,712
- 2,577
sema wewe mimi sijuwi kiyoruba,Hicho Kiswahili je kwa kingereza tunaitwaje, na je kwa ki Yoruba tunaitwaje? So point yako haiwezi kuwa proof
Kiengereza ni Human Beig neno la kupanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema wewe mimi sijuwi kiyoruba,Hicho Kiswahili je kwa kingereza tunaitwaje, na je kwa ki Yoruba tunaitwaje? So point yako haiwezi kuwa proof
Sasa mbona hueleweki. Mara huwezi kuhoji kuhusu mungu maana ni kazi bure, mara katika uislamu hamuachi kuuliza maswali. You are just all over the map with your flip-flop utterances.Sasa si ukaulize darasani wakati unasoma?
kama kuna kitu kinakukwaza ,wakati uko na mwalimu muulize.Na kama mwalimu kakufungia mlango ruka dirishani katafute mwalimu mwingine.
Kama Ukiristo unakuzuia kuuliza maswalai ,jaribu kwenye Uislamu, sisi huku huwaga hatuachagi kutowa majibu hata yaweje na utata kiasi gani.
kuran inasema
''Waulize wenye kujua ikiwa kuna kitu hukijuwi''
lizaga tuu
Hii point ni amaizing sanaYaani sisi wanadamu tunajidanganya Sana kumfanyia utafiti Mungu kwa kutumia sayansi yetu ili kumfahamu, kujua alichokifanya alikifanyaje, kujua alipo pakoje, kujua Kama yupo alitoka wapi n.k
Dunia hii na ulimwengu kiujumla havipo kwa bahati nasibu, Ni mpangilio wa kanuni kuu Sana zilizo nje ya muafaka wa kisayansi, sayansi hii ni kanuni ndogo Sana ya kutusaidia tuishi na siyo kutusaidia kumchambua Mungu kwa uwezo wa sayansi hii.
Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo milele, ujuaji wetu Wala hauwezi kuleta badiliko lolote la kanuni za Mungu.
Kwa akili za darasani na za kudanganywa na wazungu dunia Ni duara, lakini kiimani dunia Ni tambarare na Ni fumbo kuu Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app