Yaani sisi wanadamu tunajidanganya Sana kumfanyia utafiti Mungu kwa kutumia sayansi yetu ili kumfahamu, kujua alichokifanya alikifanyaje, kujua alipo pakoje, kujua Kama yupo alitoka wapi n.k
Dunia hii na ulimwengu kiujumla havipo kwa bahati nasibu, Ni mpangilio wa kanuni kuu Sana zilizo nje ya muafaka wa kisayansi, sayansi hii ni kanuni ndogo Sana ya kutusaidia tuishi na siyo kutusaidia kumchambua Mungu kwa uwezo wa sayansi hii.
Mungu alikuwepo, yupo na atakuwepo milele, ujuaji wetu Wala hauwezi kuleta badiliko lolote la kanuni za Mungu.
Kwa akili za darasani na za kudanganywa na wazungu dunia Ni duara, lakini kiimani dunia Ni tambarare na Ni fumbo kuu Sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app