Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Watu tunatofautiana uwezo wa kukariri
Hata akirudi Muhammad na kuwaambia album ya Westlife ni maneno ya Allah inabidi watu waikariri...Bado wapo Wengi tu hawatafanya/hawataweza
Ila hapa tunazungumzia urahisi au ugumu kiujumla kukariri hiyo Qur'an na si kwamba tunaangalia uwezo binafsi wa mtu mmoja mmoja.
 
Ngoja nitarudi inshaalah
 
Huyu jamaa anatokea usukumani kule ana tabia za kishamba na kichawi hata sijui anachofanya ana faidika na lipi. Amekuwa kama ***** na mada zake
 
ni jambo linalowezwa na mtu yoyote mwenye kumbukumbu nzuri.
There's no spiritual insight,no divine wisdom nor moral revealion.it just merely being eidetic memory.
Mimi sizungumzii uspesho wala vitu vyengine mie nimejikita kwenye madai ya kusema kwamba kuhifadhi Qur'an ni kitu chepesi tu.
 
Kichwa pumbu..
Ungekuwa umekariri formula tatu za Thermodynamic, ungeweza kubadilisha maisha yako, lakini kwa kuwa ni kilaza ukakamatia kwenye ufia dini ndio maana masikini mpaka leo
 
Kichwa pumbu..
Ungekuwa umekariri formula tatu za Thermodynamic, ungeweza kubadilisha maisha yako, lakini kwa kuwa ni kilaza ukakamatia kwenye ufia dini ndio maana masikini mpaka leo
Unaongea as if unanijua 😂
 
Mimi sizungumzii uspesho wala vitu vyengine mie nimejikita kwenye madai ya kusema kwamba kuhifadhi Qur'an ni kitu chepesi tu.
Kwani uongo Mzee? Quran ukiiandika kwa font za biblia ni kama kidaftari cha mtoto wa baby care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…