Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Nje ya mada.

Halafu unavyoeleza ni kana kwamba hao waislamu ni kama jamii fulani hapa duniani ambayo imejitenga huko kwenye kisiwa inaishi yenyewe tu.
 
Subiri j2 ukamsujudie brian deacon
 
Kwamba ni vigumu? Mtu anayekwenda madrasa toka akiwa mdogo na kuambiwa hiyo elimu ni bora kuliko ya makafiri atazingatia nini?
Elimu ya makafiri ndio ipi? Na hao makafiri unawakusudia akina nani?
 
Lini umeona waislamu wanasema kwamba kukariri Qur'an ni jambo rahisi?
Uliza wenzako, shida ni lafudhi na kugani kwa madaha tu ndio wanapishana

Mimi niliikariri mapema tu, ukitaka nikupe mawasiliano yangu, nikusomee yote
 
Uliza wenzako, shida ni lafudhi na kugani kwa madaha tu ndio wanapishana

Mimi niliikariri mapema tu, ukitaka nikupe mawasiliano yangu, nikusomee yote
Lafudhi na madaha ndio hufanya waislamu wengi washindwe kukariri Qur'an yote?
 
Hamis wa Kigoma anapanda juu ya miti na kupiga picha,
Yaan Quran ni rahisi kukariri kwa mashauri, basi watu wangekua wanakariri mashauri yote
 
Jamaa anateseka sana na uislamu

Hakika ya chuki humuathili zaidi anaeihifadhi
Angalia ulipokaa hapo apajoloa?
 
Ww jamaa unatatzo la akili sasa hapo ndo umejibu Nini?

Nmesema 80% ya biblia ni stori za vijiweni hata Yesu hazijui sasa ukianza kuleta Aya ambazo zipo Kabla ya Yesu kuja dunian ww utakua kichaa sibure
 
Khanisi wewe!?
 
Ww jamaa unatatzo la akili sasa hapo ndo umejibu Nini?

Nmesema 80% ya biblia ni stori za vijiweni hata Yesu hazijui sasa ukianza kuleta Aya ambazo zipo Kabla ya Yesu kuja dunian ww utakua kichaa sibure
Kaka, kusema kuwa 80% ya Biblia ni "stori za vijiweni" ni dhihaka isiyo na msingi wowote wa kielimu. Biblia ni maandiko yenye historia, sheria, unabii na mafundisho ya kiroho yaliyobeba ujumbe wa wokovu toka mwanzo hadi mwisho. Yesu mwenyewe alithibitisha kuwa hakuja kuibatilisha Torati bali kuitimiza, hivyo si sahihi kudharau aya zilizokuwepo kabla yake. Na kuhusu Qur'an, ukweli ni kwamba hata Muhammad hakuikusanya, hakuiweka kwa mpangilio, na Qur'an ya leo si ile aliyosoma. Hii ya sasa ni toleo la Uthman, tena limepitia mikono mingi hadi tukafika kwenye kiraa tofauti kama Hafs na Warsh. Kama kweli Qur’an ni ya Mungu, kwanini ijae mkanganyiko kiasi hicho? Tuwe wakweli na tujadili kwa hoja, si kwa kejeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…