Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Acha kuzunguka zunguka asilimia 80% ya biblia ni stori za vijiweni Yesu hazijui kabsa mambo ya kuongozwa na roho ww umeyatoa wapi?

Pinga kama Yesu anayajua au hayajui acha blablablah
 
Unaongea as if unanijua 😂
Wewe ni kilaza na wala sihitaji kukujua kujua hilo zaidi ya mada zako humu za ufia dini, Hii inatosha sana kutoa psychometric analysis ya kiwango cha akili yako na elimu
Wewe ni kilaza
 
Acha kuzunguka zunguka asilimia 80% ya biblia ni stori za vijiweni Yesu hazijui kabsa mambo ya kuongozwa na roho ww umeyatoa wapi?

Pinga kama Yesu anayajua au hayajui acha blablablah
Yesu ndiye msingi wa Agano Jipya mafundisho yake, maisha yake, kifo na kufufuka kwake ndivyo vinavyounda Agano hilo.

Si kwamba hakuwa anajua Agano Jipya, bali Agano Jipya lilikuwa linajengwa juu yake mwenyewe alipokuwa hai.

Mitume waliokuja baada yake waliandika yale waliyoyaona, kusikia na kufundishwa moja kwa moja kutoka kwake. Huwezi kusema "hayajui Agano Jipya" wakati yeye ndiye aliyetamka maneno yaliyokuja kuandikwa humo.

Kama mwandishi wa kitabu hajui kilichoandikwa, basi nani anajua? Huo ni upotoshaji wa hali ya juu unaotokana na kuchukia bila kuelewa.
 
Maneno ya Yesu kwenye biblia ni asilimia 20 tu, acha ngonjera jibu swali.

Ni maneno ya vijiweni au sio vijiweni?
 
Acha kuzunguka zunguka asilimia 80% ya biblia ni stori za vijiweni Yesu hazijui kabsa mambo ya kuongozwa na roho ww umeyatoa wapi?

Pinga kama Yesu anayajua au hayajui acha blablablah
Yesu ndiye msingi wa Agano Jipya mafundisho yake, maisha yake, kifo na kufufuka kwake ndivyo vinavyounda Agano hilo.

Si kwamba hakuwa anajua Agano Jipya, bali Agano Jipya lilikuwa linajengwa juu yake mwenyewe alipokuwa hai.

Mitume waliokuja baada yake waliandika yale waliyoyaona, kusikia na kufundishwa moja kwa moja kutoka kwake. Huwezi kusema "hayajui Agano Jipya" wakati yeye ndiye aliyetamka maneno yaliyokuja kuandikwa humo.

Kama mwandishi wa kitabu hajui kilichoandikwa, basi nani anajua? Huo ni upotoshaji wa hali ya juu unaotokana na kuchukia bila kuelewa.
Maneno ya Yesu kwenye biblia ni asilimia 20 tu, acha ngonjera jibu swali.

Ni maneno ya vijiweni au sio vijiweni?
Maneno ya Yesu tunayayaamini kikamilifu, lakini pia tunayaamini maneno ya manabii waliotangulia kwa sababu walikuwa wakitumiwa na Mungu kutabiri ujio wake, maisha yake, mateso yake na utukufu wake. Je, unataka tuichukue Biblia robo tu—tuchukue maneno ya Yesu halafu tuwakatae manabii waliomtangulia? Huo sio uelewa bali ni kujichanganya. Maandiko yote yanaungana; unabii wa Agano la Kale umetimia kwa Yesu wa Agano Jipya. Huwezi kumuelewa Yesu vizuri bila kuelewa unabii uliomtabiri, kama Isaya 53, Zaburi 22 au Mika 5:2. Kwa hiyo kusema tunapaswa kuamini maneno ya Yesu tu na kuyatupa mengine ni kupotosha na kukwepa ukweli kwa makusudi.
 
Ndo maneno nasema ww akili zako hazifanyi kazi vizuri wapi nmesema maneno ya manabii walipita kabla ya yesu maneno yao ni ya vijiweni?

Agano jipya asilimia 80 ni stori za wanywa kahawa baada ya yesu kuondoka hapo na asilimia 20 ndo mafundisho yake na manabii kabla yake hiyo 80% iliyobak ni store zq vijiweni na wanywa kahawa WA zamani, Sasa ukipinga uje na hoja sio maelezo mengi yasiyo na maana
 
naomba nikujibu kwa heshima lakini kwa msimamo. Siyo kweli kusema kwamba asilimia 80 ya Agano Jipya ni stori za “wanywa kahawa” au maneno ya vijiweni. Huo ni mtazamo wa dharau kwa maandiko matakatifu ambayo hata Qur’an inayaheshimu kwa kusema yaliteremshwa na Mungu (Qur’an 5:46).

Agano Jipya linajumuisha Injili, ambazo ni simulizi za maisha, mafundisho, kifo na ufufuo wa Yesu Kristo haya si stori za kupuuzwa bali ndio msingi wa imani ya Kikristo. Kila mafundisho ya Yesu, kila miujiza aliyotenda, kila mfano alioeleza, yote haya yamebeba maana kubwa ya kiroho ambayo imebadilisha maisha ya watu kwa maelfu ya miaka hadi leo.

Isitoshe, hata maandiko yaliyoandikwa baada ya Yesu kupaa mbinguni, kama vile Matendo ya Mitume, waraka wa Paulo, Petro, Yohana na wengine, hayawezi kuitwa stori za vijiweni. Ni mafundisho ya kina yaliyomwilishwa kwa makanisa ya wakati huo kuhusu namna ya kuishi maisha ya kiimani, kufundisha maadili, upendo, msamaha na utakatifu. Je, unaposema ni hadithi za watu wa vijiweni, unataka kusema mafundisho ya upendo kwa adui zako, kusaidia wajane na yatima, kuishi maisha ya kujizuia na ya utakatifu ni hadithi zisizo na maana?

Na kuhusu sehemu ya manabii, tunawaamini manabii wote waliotabiri kuhusu Yesu, na Agano Jipya linaonyesha jinsi walivyotabiri na jinsi zilivyotimia hiyo haijafuta umuhimu wa yale yaliyoandikwa baada ya ujio wa Yesu, bali imekamilisha mpango wa Mungu kwa wanadamu. Ndiyo maana hata Yesu alisema: "Sikuja kuondoa torati bali kuitimiliza." (Mathayo 5:17). Hivyo basi, usitazame Biblia kwa jicho la kubeza bali kwa nia ya kutafuta ukweli. Kama unayo hoja ya kupinga, basi lete hoja inayojitosheleza badala ya kejeli zisizo na msingi.
 
Unaendelea kuzunguka zunguka bado hujibu hoja naomba unijibu maneno ya yesu na manabii wa kale ni asilimia 20 tu biblia, hzo asilimia 80 zilizobaki ni stori za vijiweni na wanywa kahawa wa zamani sio maneno ya MUNGU wala aliowatuma ( jibu ndio au hapana) na yesu anayajua au hayajui?
 
Unataka kusema kwamba maandiko ya Musa, Isaya, Yeremia, na Ezekieli watu ambao hata Qur’an inawataja kuwa ni mitume na manabii wa Mungu ni stori za wanywa kahawa?

Hiyo ni dharau ya wazi kwa watu wa Mungu waliopokea maono, sheria na unabii moja kwa moja kutoka kwa Mungu. Yesu mwenyewe aliyaamini na kuyafundisha hayo maandiko (Luka 24:27), na hakusema popote kwamba maandiko ya zamani ni batili .


Tena, unasema eti Yesu hajui hayo maandiko 80% yaliyobaki. Yesu ndiye Neno la Mungu aliye hai (Yohana 1:1-3), ndiye aliyekuwa pamoja na Mungu tangu mwanzo, na vyote viliumbwa kwa njia yake. Si tu anayajua, bali yeye ndiye aliyevuvia yale maandiko kupitia Roho Mtakatifu. Hivyo basi, kuyapuuza maandiko ni kumpuuza Kristo mwenyewe.

Sasa nikuguse kwenye upande wako,sijui kama unajua Qur’an haina hata manuscript (nakala ya awali) ya enzi ya Muhammad iliyohifadhiwa.

Kilichopo ni makusanyo ya watu waliokusanya aya kwa vichwa vyao wengine walivamiwa na njaa wakafa kabla hawajakumbuka zote (kama hadithi sahihi ya Bukhari inavyothibitisha).

Hiyo Qur’an yenu asilimia kubwa imechukua simulizi kutoka vitabu vya apokrifa vya Wayahudi waliokengeuka, Wakristo waasi (kama Injili ya Barnaba), na hata hadithi za kipagani kutoka Wapagani wa Kureshi na Wasabai watu waliokuwa na imani ya kuabudu miungu mingi, mwezi, jua, na majini.

Huo ni ukweli wa kihistoria ambao hauwezi kufichika tena katika zama hizi za taarifa.,teknolojia na utandawazi

Kwa hiyo, jibu langu ni HAPANA.

Siyo kweli kwamba Biblia ni stori za kahawa. Bali ni maandiko matakatifu yaliyoandikwa kwa ufunuo wa Mungu, na hata Yesu mwenyewe aliyathibitisha na kuyasimamia. Na kama Qur’an yako imekosa hata msingi wa kuaminika wa kihistoria na maandiko ya mwanzo, haina nguvu ya kuhukumu Neno la Mungu lililo hai na lenye historia, maandiko, na uthibitisho wa kihistoria wa karne nyingi.

Usifananishe na Quran ambayo Haina hata mtiririko wakueleweka
 
We jamaa unatatzo mahali la kuelewa
 
Physics watu wanaelewa matopic magumu kama quantum , thermodynamics , electrodynamics statistical mechanics, , general relativity, fluid dynamics na magnetohydrodynamic lakini cha Mungu kinahitaji kukaririwa?, mambo ya ajabu kabisa.
 
We jamaa unachuki na Uislamu,, kama ni rahisi kuhifadhi, wewe umehifadhi juzuu ngapi??,, hizo propaganda zako unazoleta hazina mashiko,, Uislamu umekamilika na Qur'an haijaacha kuelezea kitu chochote,, we baki na chuki zako ila hivi karibuni utaujua ukweli na utakua umechelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…