Kitabu cha Quran ni rahisi kukikariri

Chuki ipi sasa, Mimi uislamu nimezaliwa humo na nimekariri Quran nzima ,

Moja ya kitu najisifia ni kuukana uislamu na kumkubali Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa MAISHA yangu,kwasasa nipo tayari kufa lakini siwezi kumkana Yesu

Uislamu ni dini ya juzi ,ni dini mpya ,imekuja na mafundisho mengi ya uongo
 
Ilijua wapi bwana wewe umesoma secular education alafu bado zwazwa!

Koran ilikuwa inajilinda hapo dhidi ya kukataliwa kwake maana koran ni chuki na uhuni
Mimi zwazwa sawa na hiyo secular sijasoma ila naomba uje hata na aya moja sasa
 
Qur'an ni mashahiri ya shetani, hakina uungu wowote.
 
Ni kwanini zile Aya zilizoliwa na mbuzi hawakuzihifadhi kichwani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…