MimiKijana
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 265
- 243
Unaomba kupatiwa na nani?Be specific mkuu.Salute to all JF members,
Naomba kupatiwa kitabu cha sheria za usalama barabarani (ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).
Akhsante.
Ahsante kwa kuuliza,
Dah... Mkuu, nimesoma comment yako ila nimetoka kapa nikajaribu kurudia nikapaliwa.Hatuwezi kabisa kutoa kitabu hiki. Sisi tumejipanga na tukitoa kitabu hiki kuna uwezekano mapato yakapungua. Mapato yakipungua mwanao hawezi kupata elimu bure nk... Unatakiwa kuwa mzalendo na kutii hizo sheria "unazoambiwa na trafiki" bila shulti bhaaaasi
Sent using Jamii Forums mobile app
JF ni hazina kuu ungetumia search button ungepata hata google ingekuleta jf pia pakua hapa