Kitabu cha sheria za usalama barabarani

Kitabu cha sheria za usalama barabarani

MimiKijana

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2018
Posts
265
Reaction score
243
Salute to all JF members,
Naomba kupatiwa kitabu cha sheria za usalama barabarani (ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania).

Akhsante.
 
Hatuwezi kabisa kutoa kitabu hiki. Sisi tumejipanga na tukitoa kitabu hiki kuna uwezekano mapato yakapungua. Mapato yakipungua mwanao hawezi kupata elimu bure nk... Unatakiwa kuwa mzalendo na kutii hizo sheria "unazoambiwa na trafiki" bila shulti bhaaaasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah... Mkuu, nimesoma comment yako ila nimetoka kapa nikajaribu kurudia nikapaliwa.

I guess u're just kidding hahahahahaaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom