Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?


Think Big & NJAMA(Willy Gamba)
 
Wakuu ningeomba kila anayetaja kitabu aseme pia kinapatikanaje, maana vyote mlivyotaja mimi navitamani.

Mkuu vitabu vingi mlimani city ila bei rahis pitia ubungo pale jioni vitabu kama the magic of thinking,cashflow quadrant,ving utavipata kwanane au kumi hadi kumi nambili ila vingine ngumu kupata
 

Kiswahili kinakusumbua mkuu,,nakushauri ukasome hiki kitabu 'Soma kwa hatua' kitakusaidia sana.. Mimi nimesema 'kalibu' kila aina ya kitabu...kamba iko wapi hapo
 

Qur an tukufu, imenifanya niwe mtu wa kipekee kabisa
 
napenda kusoma vitabu ila kidhungu ndo issue
Kidhungu ni janga la kitaifa lakini hivyohivyo utaelewa kikubwa ni kukisoma ukiwa umetulia na kukirudia rudia ukishindwa hata ukisoma vya kiswahili mkuu vinakusaidia kukujenga (nondo sio vitabu vya kizungu kwani kidhungu ni lugha ya mawasiliano, hata kama vipo vya kisukuma kikubwa ni kitabu), unajua advantage ya vitabu ukilinganisha na audio-visual (video) ni kwamba kitabu kinakufanya utafakari kile unachokisoma na kulinganisha na hali halisi (imagination flani hivi) hivyo kwa kitendo hicho kinaufanya ubongo wako uwe sharp kwenye mambo mbalimbali na hata uwezo wa kusahau unapungua lakini movie au ukizoea kila kitu lazima mtu akusimulie uwezo wa akili unapungua. Soma hata vya kiswahili mfano mie nimesoma Gifted hand ya Ben Carson lakini pia ipo ya kiswahili chake pia
 

Pia angeanza na vitabu vyenye kidhungu kirahisi kama richdad poor dad,the magic of thinking big then anasogea taratibu kwa mtazamo wangu
 

Nenda maktaba ya udsm.. vipo tele ata cha mzee wako mohamed said kipo
 
The Master Key Systems. Ila Wabongo hawasomi vitabu. Sijui tatizo ni kiingereza au nini?
 

biblia
 
1.Atlas shrugged, by Ayn rand
2.War and peace by Leo Tolstoy
3. A Treatise on the Origin of species by Charles Darwin
4. Mein Kempf by Adolf Hitler
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…