Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

Think Big & NJAMA(Willy Gamba)
 
Wakuu ningeomba kila anayetaja kitabu aseme pia kinapatikanaje, maana vyote mlivyotaja mimi navitamani.

Mkuu vitabu vingi mlimani city ila bei rahis pitia ubungo pale jioni vitabu kama the magic of thinking,cashflow quadrant,ving utavipata kwanane au kumi hadi kumi nambili ila vingine ngumu kupata
 
Siyo kila aina vitabu acha kamba hakuna bookshop ya hivyo Tanzania.

Nenda kaangalia hivi vitabu kama vipo hapo Mlimani City.

1. A Modern History of Tanganyika, kimeandikwa na John Iliffe.

2. The Making of Tanganyika, kimeandikwa na Listowel Judith.

3. The Critical Phase in Tanzania, kimeandikwa na Pratt Cranford.

Vipi vingi hivi vitabu mimi nimevikuta mzee wangu anavyo sijui kama vipo Tanzania.

Tafuteni hivyo vitabu mtaijua vizuri Tanganyika.

Kiswahili kinakusumbua mkuu,,nakushauri ukasome hiki kitabu 'Soma kwa hatua' kitakusaidia sana.. Mimi nimesema 'kalibu' kila aina ya kitabu...kamba iko wapi hapo
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

Qur an tukufu, imenifanya niwe mtu wa kipekee kabisa
 
napenda kusoma vitabu ila kidhungu ndo issue
Kidhungu ni janga la kitaifa lakini hivyohivyo utaelewa kikubwa ni kukisoma ukiwa umetulia na kukirudia rudia ukishindwa hata ukisoma vya kiswahili mkuu vinakusaidia kukujenga (nondo sio vitabu vya kizungu kwani kidhungu ni lugha ya mawasiliano, hata kama vipo vya kisukuma kikubwa ni kitabu), unajua advantage ya vitabu ukilinganisha na audio-visual (video) ni kwamba kitabu kinakufanya utafakari kile unachokisoma na kulinganisha na hali halisi (imagination flani hivi) hivyo kwa kitendo hicho kinaufanya ubongo wako uwe sharp kwenye mambo mbalimbali na hata uwezo wa kusahau unapungua lakini movie au ukizoea kila kitu lazima mtu akusimulie uwezo wa akili unapungua. Soma hata vya kiswahili mfano mie nimesoma Gifted hand ya Ben Carson lakini pia ipo ya kiswahili chake pia
 
Pia angeanza na vitabu vyenye kidhungu kirahisi kama richdad poor dad,the magic of thinking big then anasogea taratibu kwa mtazamo wangu
 
Siyo kila aina vitabu acha kamba hakuna bookshop ya hivyo Tanzania.

Nenda kaangalia hivi vitabu kama vipo hapo Mlimani City.

1. A Modern History of Tanganyika, kimeandikwa na John Iliffe.

2. The Making of Tanganyika, kimeandikwa na Listowel Judith.

3. The Critical Phase in Tanzania, kimeandikwa na Pratt Cranford.

Vipi vingi hivi vitabu mimi nimevikuta mzee wangu anavyo sijui kama vipo Tanzania.

Tafuteni hivyo vitabu mtaijua vizuri Tanganyika.

Nenda maktaba ya udsm.. vipo tele ata cha mzee wako mohamed said kipo
 
The Master Key Systems. Ila Wabongo hawasomi vitabu. Sijui tatizo ni kiingereza au nini?
 
vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo kaizen (continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. Yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. Unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

biblia
 
1.Atlas shrugged, by Ayn rand
2.War and peace by Leo Tolstoy
3. A Treatise on the Origin of species by Charles Darwin
4. Mein Kempf by Adolf Hitler
 
Back
Top Bottom