Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kwa wale walionitumia email nimewatumia hivyo vitabu. Tafadhali usitume PM au kuweka email yako kwenye hii thread sitaiona na pia itaniwia vigumu. Unaponitumia email inakuwa rahisi kureply kwa sababu vitabu tayari nimeshaviapload kwenye email yangu ni kucleack send tu. Karibuni sana mnaotaka vitabu hivi, ni bure kabisa.
Mkuu nimepata nondo zako,thanks brother
 
Tough time never lat but tough people do by Robert H. Schuller
The Purpose Driven Life by Rick Warren
When you start reading these books your life will change completely, you wil learn to hold on and to let it go
Surely you will never Regret Read them now
 
nimevisoma,vimenibadilisha kimtizamo na nahisi,in a long run,huenda vikabadili maisha yangu

Ni kweli sasa hivi mfumo wa maisha yangu umebadilika kabisa.... Nilikuwa mwoga sana wa kufanya maamuzi hata kwenye mambo yenye maslahi. Sasa hivi huwa sijiulizi mara mbili kitu nikiona kinafaa kwa maisha yangu huwa siruhusu roho ya uoga kunijia. And now I see some progress on it. Maisha ni mapambano mambo ya kubaki nahangaika nakutafuta kazi tofauti tofauti nataka niachane nayo zaidi nitumie muda mwingi kufanya mambo yangu. Sijakubali mimi kupangiwa ratiba za maisha yangu na mtu mwingine wakati nina akili timamu. Here we go guys.
 
"The Philosophy of Religion: An Anthology".

Nilipokisoma nilikuwa na miaka 18, tangu hapo sijarudi katika kuamini kuwepo kwa mungu in the Judeo-Christian context.

kwa maudhui ya kitabu,,sishauri watu wakisome.
 
Vyoote tupa kule Biblia Takatifu na QuruaniTukufu ndio Alfa na Omega kwenye maisha ya mwanadamu kama hutaki utakuwa pepo sio mtu.
 
Temptation - cha Agoro Anduru. Kitabu changu cha kwanza kabisa kusoma nikiwa form one, kimenisaidia sana kukwepa majaribu ya hapa duniani.
 
Jamani,mm nina amini kila kitabu ni kizuri kutokana na lengo husika
Naomba mwenye soft copy ya kitabu chochote ya vilivyo tajwa na wana Jf ani2mie ktk e-mail ya mwanzino@gmail.com au kama ana link atoe w2 2vi upload
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

TRAVELLERS GIFT hiki kitabu kilifanya nibadili mawazo yangu kuwa vitu halisi na kuweka njia ya kuishi kwenye ndoto zangu..
 
Think and Grow Rich cha Napoleon Hill.hichi ndio baba ya vitabu vyoote vya Self help/self knowldge.ebana kama hujakisoma hiki kitabu bas kitafute ukisome haraka iwezekanavyo.alaf haina haja ya kwenda kununua asilimia kubwa ya hivi vitabu vinapatikana kwenye internet.unavisachi unadownload kisha unavisoma kwenye smartphone,tablets,laptops etc.kwa kutumia adobe reader
 

Attachments

  • 1399644137837.jpg
    1399644137837.jpg
    25.4 KB · Views: 431
Back
Top Bottom