OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu nimepata nondo zako,thanks brotherKwa wale walionitumia email nimewatumia hivyo vitabu. Tafadhali usitume PM au kuweka email yako kwenye hii thread sitaiona na pia itaniwia vigumu. Unaponitumia email inakuwa rahisi kureply kwa sababu vitabu tayari nimeshaviapload kwenye email yangu ni kucleack send tu. Karibuni sana mnaotaka vitabu hivi, ni bure kabisa.
kweli umetuma hata mimi umenitumia pia. Mzee wa one ya point 3 ,mekufwatilia sana katika mahojiano yako tbc1
nimevisoma,vimenibadilisha kimtizamo na nahisi,in a long run,huenda vikabadili maisha yangu
From the streets to the parliament- Joseph Mbilinyi(mr2)
"The Philosophy of Religion: An Anthology".
Nilipokisoma nilikuwa na miaka 18, tangu hapo sijarudi katika kuamini kuwepo kwa mungu in the Judeo-Christian context.
Yaani wewe tuma email kwenda amakirita@gmail.com inakuwa rahisi mimi kuforwad vitabu hivyo. Karibu.
Rich Dad Poor Dad
By Robert Kiyosaki
Cashflow Quadrant
By Kiyosaki R.
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
Temptation - cha Agoro Anduru. Kitabu changu cha kwanza kabisa kusoma nikiwa form one, kimenisaidia sana kukwepa majaribu ya hapa duniani.