Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?


A wonderful book, Stephen Covey is amazing!

Great to hear the book changed your life, Have you established your personal mission statement already? 🙂 Which habit stuck in you mostly? For me Begin With the End In Mind habit will forever live with me. I remember reading this book before an interview that landed me a job, definitely a must read for every individual.
 
mapenda kusoma vitabu,lkn nakosa mazingira bora. si vibaya kusoma kitabu chochote na kupata mawwzo ya mwandish si lazima vile vya kimaisha. kila writer ana kitu kitafute
soma vitabu upate maarifa mkuu
 
kumbe wazungu ni kila kitu, mpaka vitabu tungeni na nyie sasa mnufaishe watanzania wasio jua kizungu

vitabu vimeandikwa na watu wa kila rangi, taifa na kabila.
 
Hapa ni rahisi sana kutaja BIBLIA na QUR-AN. Lakini hivyo ni sawa na PIE. I.e 22/7. Tutajeni vitabu vingine nje ya hivyo.

For My case it is this Book.

 
Kitabu cha "Mirror" by prophet Tb Joshua, kwakweli ni kizuri sana, kimenibadilisha sana maisha yangu since kimenipa ujasiri wa kufanya na kuwaza big.

''themirror'' kitabu kizuri sana..Nimeanza kukisoma hardcopy kina mafunzo mazuri sana kiroho/kimwili.
 
The Animal Farm cha George Orwell. Will never trust politician in power.
 
Dah kama kuna kitabu kilichonibadili mpaka kila mtu akaona nimebadilika ni Gifted Hands - Ben Carson...I nilikuwa a very average person kwenye kazi na sikuwa na mahusiano mazuri na colleagues hata na mwenza wangu but that book changed me completely.

The book changed my life as well. Kwa sasa nakisoma Think big. Ni kizuri sana pia
 


Kamasutra.The Art of making love
 
I've read hundreds of books and nothing is like the Bible.
Vitabu vyote vizuri, nina maana vyote vyenye applicable principles ni marudio ya kilichopo ktk Biblia.
Unfortunately wachache sana wanafaisika na hekima hiyo!
 
African origin of civilisation, myth or reality. By cheik anta diop. Hiki kilinitoa kwenye giza la ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…