Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

wakuu natafuta ile thread ambayo vitabu vipo uploaded tayari.. msaada wenu nimeitafuta hiyo thread bila mafanikio.
 
Dah kama kuna kitabu kilichonibadili mpaka kila mtu akaona nimebadilika ni Gifted Hands - Ben Carson...I nilikuwa a very average person kwenye kazi na sikuwa na mahusiano mazuri na colleagues hata na mwenza wangu but that book changed me completely.
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

The Big Book and 12 & 12 Steps Of Recovery hivi vitabu vimenisaidia sana mnk nilikuwa MLEVI SUGU na nilikuwa nimeshaangaika sana kutafuta dawa ya kupona bila mafanikio, so mpk hv sasa ndo vitabu navyotumia kukabiliana na hy tatizo langu na kuendesha maisha kwa ujumla
 
Mi sijasoma vitabu vingi saana but nlifanikiwa kusoma kitabu cha rich dad poor dad (na chenyw sikukimaliza) lakin mara moja kiliacha alama into my life hasa katika kubadili mtazamo wangu kuhusu, elimu ya darasani, namna ya kuifanya pesa ikutumikie badala ya kuitumikia na mtazamo wa kujiajiri badala ya kuajiriwa! Nimesoma kdg tu nmeona impact yake je, ningesoma chote? Ntakitafuta tena nkimalizie asante sn mkuu Makirita Amani mana ndie alienitumiaga kitabu hiki na vingne pia ntavitafuta vitabu vingne wakuu walivyovisema hapa ilinivisome, ubarikiwe sana mtoa uzi!
 
Last edited by a moderator:
The power of human mind, How to contral human mind. Hivi vitabu nlikua nasoma kwa jirani kama kupoteza muda ila vimekua msaada mkubwa sana katika maisha yangu.
 
Mi sijasoma vitabu vingi saana but nlifanikiwa kusoma kitabu cha rich dad poor dad (na chenyw sikukimaliza) lakin mara moja kiliacha alama into my life hasa katika kubadili mtazamo wangu kuhusu, elimu ya darasani, namna ya kuifanya pesa ikutumikie badala ya kuitumikia na mtazamo wa kujiajiri badala ya kuajiriwa! Nimesoma kdg tu nmeona impact yake je, ningesoma chote? Ntakitafuta tena nkimalizie asante sn mkuu Makirita Amani mana ndie alienitumiaga kitabu hiki na vingne pia ntavitafuta vitabu vingne wakuu walivyovisema hapa ilinivisome, ubarikiwe sana mtoa uzi!

Vizuri sana mkuu.
Karibu sasa hivi tupo kwenye changamoto ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano.
 
Last edited by a moderator:
The i ching

index.jpg
 
Jamani vipi kuhusu ile book club/reading club?
Mtoa wazo tusaidie, ulitaka iweje? I mean utaratibu wake.

Kwa upande upande wangu vitabu vimenisaidia sana. Yaani vilivyonisaidia ni vingi mpaka nashindwa kumention. Mfano ni vitabu vya sumbye kapena wa zambia:
How to be a Wise Leader
• How to Deal with Stubborn Habits
• How to Succeed
• How to Succeed in your Studies and Work
And many more
 
Naombeni mwenye vitabu vya leadership na management softcopy anisaidie, hasa vile vyenye impact and simple.

'48 laws of power' aliyosuggest the boss zimenisaidia sana. Google nawe utajionea.
Japo kuna mtu alisemaga hakina hata hadhi ya kuitwa kijarida, take note: ni heri usome machache yenye impact kuliko visivyokuchua hata single inch.
 
Back
Top Bottom