Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
Mi sijasoma vitabu vingi saana but nlifanikiwa kusoma kitabu cha rich dad poor dad (na chenyw sikukimaliza) lakin mara moja kiliacha alama into my life hasa katika kubadili mtazamo wangu kuhusu, elimu ya darasani, namna ya kuifanya pesa ikutumikie badala ya kuitumikia na mtazamo wa kujiajiri badala ya kuajiriwa! Nimesoma kdg tu nmeona impact yake je, ningesoma chote? Ntakitafuta tena nkimalizie asante sn mkuu Makirita Amani mana ndie alienitumiaga kitabu hiki na vingne pia ntavitafuta vitabu vingne wakuu walivyovisema hapa ilinivisome, ubarikiwe sana mtoa uzi!
wakuu natafuta ile thread ambayo vitabu vipo uploaded tayari.. msaada wenu nimeitafuta hiyo thread bila mafanikio.