Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?


Biblia
 
 
How to stop worrying and start living & Love without fear
 
Vyoote tupa kule Biblia Takatifu na QuruaniTukufu ndio Alfa na Omega kwenye maisha ya mwanadamu kama hutaki utakuwa pepo sio mtu.
Tatizo lako mkuu unafikiri kuwa dini duniani ni ukristo na uislamu tu...
 
"The way of a superior man" na "sexual reflexiology"

Best book for a man, mtazamo wangu juu ya maisha ya kila siku umebadirika, kamwe siwezi lalamika eti maisha magumu, au yupi ananifaa maishani, kwa nini wanawake wako hivi, kwa nini watu duniani wako hivi walivyo, n.k.

Yote ya yote, kusoma vitabu ni raha hamna mfano, maana wakati mwingine, nnatumia kitabu kufichia hela ndogo ndogo hapa nyumbani.
 
Vizuri sana mkuu.
Karibu sasa hivi tupo kwenye changamoto ya kusoma vitabu 500 ndani ya miaka mitano.
Safi sana, hii ni rahisi tu,
Uikweza kusoma vitabu viwili tu kwa wiki unakuwa umekaribia kabisa kufikisha vitabu 500 kwa miaka mitano, I am also trying it!
 
mbona mimi nimejiunga lakini nikiingia nashindwa kwanini inakuwa hv makilita
 
Nice thread. Think big helped me to study hard in my secondary school.
 
Natamani nifaham kilichomo ndan ya QUR'AN, tatizo lugha! Utanisaidiaje?

Fika katika maduka yauzayo vitabu vya dini (Islamic), ulizia Quran iliyotafsiriwa either katika kiingereza or kwa kiswahili.
Zinapatikana kwa wingi tu.
 
mi sijabadilishwa maisha na kitabu bali vitabu nilivyosoma vya kitaaluma shuleni. kwa kitabu kilichonigusa sana na riwaya fulani inaitwa native son. dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…