Paradise farm by Samuel Kahiga.
Hiki kitabu kilinipa hamu na ndoto za kumiliki mashamba na kuishi mashambani.
Kama una mtoto wa kike (au wakiume really) pls soma Anne Frank The Diary Of A Young Girl by Anne Frank.
Ni true story. Ni Diary aliyokuwa akiandika msichana Myahudi Anne Frank (14yrs old) wakati wamejificha na familia yake na nyingine, wakati wa Holocaust.
mkuu the boss, nimekuelewa sana. hii kitu ni hatari. coutiers wamexpand my brain in all angles. japokuwa sijasoma laws zote. kitabu hiki kinafaa sana kwetu sisi tunaoishi ktk ulimwengu wa fitna na husda