Safiiiii..wewe ni mwanazuoni nguli..shkamoo bwana
Mkuu hivi ni vitabu au collection ya past paper?Vitini vya Nyambari Nyangwine..
vilinifanya nifaulu sana na maisha yangu yakabadilika completely.
Gifted Hands, Think Big, The Big Picture - Ben Carson
The last don - Mario Puzo
The magic of thinking Big - David Schwartz
And soon m starting Das Capital - Karl Marx
The magic of thinking big by David what a book to read nimekisoma kilinifanya nasahau njaa kama inauma kila nikimaliza page nazid kuendelea
Ujamaa, Nyerere. J. K. Kimenifanya kuyaelewa japo kwa mbali mawazo na mtazamo wa Nyerere mmoja ya watu wachache nisio elewa mitazamo yao.
The secret of millionaires mind,richdad poor dad,richest man in Babylon,the magic of thinking big,think and grow rich,the monk who sold his Ferrari hivi ndo naona viliniifanya nibadili uelekeo wa maisha yangu.na vingine vingi too bad naona npo nyuma ya malengo mwaka huu ya kusoma vitabu 20 na ndo kwanza nipo cha NNE,mwaka Jana nlitimiza malengo
Stop Worrying and Start Living. by Dale Carnegie
Ivo vyote utasoma?
Yawezekana una implement uliyoyasoma so muda unaanza kubana mkuu,si unajua siku ina masaa 24 tu so kila unapooongeza mambo ya muhimu basi siku inapungua urefu relatively!!!!!
Sasa hapo ni u turn point acha mengi yasiyo tija ili ku accommodate mabadiliko chanya!!!!
Ikiwezekana punguza masaa ya kulala kwa siku japo tatu in a week!!!!