Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Gifted Hands, Think Big, The Big Picture - Ben Carson
The last don - Mario Puzo
The magic of thinking Big - David Schwartz

And soon m starting Das Capital - Karl Marx

The magic of thinking big by David what a book to read nimekisoma kilinifanya nasahau njaa kama inauma kila nikimaliza page nazid kuendelea
 
Hiki hapa
1.jpg
 
Ujamaa, Nyerere. J. K. Kimenifanya kuyaelewa japo kwa mbali mawazo na mtazamo wa Nyerere mmoja ya watu wachache nisio elewa mitazamo yao.

Tafuta the Populist Idea sikumbuki author vizuri ili upate counter issues za ujamaa hakika utakuwa uko poa sana.
 
The secret of millionaires mind,richdad poor dad,richest man in Babylon,the magic of thinking big,think and grow rich,the monk who sold his Ferrari hivi ndo naona viliniifanya nibadili uelekeo wa maisha yangu.na vingine vingi too bad naona npo nyuma ya malengo mwaka huu ya kusoma vitabu 20 na ndo kwanza nipo cha NNE,mwaka Jana nlitimiza malengo
 
Yawezekana una implement uliyoyasoma so muda unaanza kubana mkuu,si unajua siku ina masaa 24 tu so kila unapooongeza mambo ya muhimu basi siku inapungua urefu relatively!!!!!

Sasa hapo ni u turn point acha mengi yasiyo tija ili ku accommodate mabadiliko chanya!!!!
Ikiwezekana punguza masaa ya kulala kwa siku japo tatu in a week!!!!
 
Yeah mkuu mambo yanakuwa mengi ila ntajihid niweke kilasiku lisaa usiku nisoma bila hivyo ukipoteza mood hukawii kuacha kusoma kabisa
 
Sowing the mustard seed-YOWERI M7

AUTOBIAGRAPHY YA HILARY CLINTON-DAH MKITABU ULIKUWA UNANIKESESHA MAKTABA.

THE SHACKLED CONTINET,AFRICA PAST,NOW AND FUTURE.

SHAKES HANDS WITH DEVIL-
ROMEO DALLAIRE(HOW UN FAILED TO STOP RWANDA'S GENOCIDE
 
Back
Top Bottom