Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Think and grow rich ni bonge la kitabu
 
Napenda vitabu vya kijasusijasusi ila vimeniharibu, nimegeuka mpelelezi mpaka ktk familia yangu, nikikata kona mbili tatu mtaa mtu au gari ikaelekea ninakokwenda naanza mashaka, kwa ufupi vimenijengea mashaka japo najifunza kila nisomapo.
 
The power of positive thinking, laws of attraction, how toget what u want,why we want u to rich
 
Stop Worrying and Start Living. by Dale Carnegie
Naweza sema hiki ndio kimenibadilisha zaidi na kufanya nianze kusoma hizi motivations and inspiration books...nilikiona nikiwa na miaka 14 hv nilikipata kwenye draw za babu yangu nadhani yeye pia alikua anakipenda...the first time nilikisoma kwa shida bt baadae nilivyomaliza form four ndo kama nilikua nakisoma kila siku....kina mbinu nyingi sana za kukusaidia kuishi na watu...kama vile author alijua akaweka warnings kwamba usikitumie vibaya kupotosha au kuhadaa watu
 
Pls unaweza kunitumia ...?
 
Napenda vitabu vya kijasusijasusi ila vimeniharibu, nimegeuka mpelelezi mpaka ktk familia yangu, nikikata kona mbili tatu mtaa mtu au gari ikaelekea ninakokwenda naanza mashaka, kwa ufupi vimenijengea mashaka japo najifunza kila nisomapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
think and grow rich..law of success..by Napoleon Hill....Poor dady rich dady, cash flow quadrants, retire early retire rich by kiyosaki...Puzzle...how to stop worry and start living ....Think big, Big Picture, Gifted hand by Carson.... also i want to marry beautiful woman ...think like a man act like a Lady na bwana steve Harvey.....hivi ni kati ya vitabu ambavyo hata nikivisoma sitosheki ....Bible ndicho kitabu pekee ambacho huwa nakichulia kama kitu chenye uhai badala ya kitabu
 
Jamani mi biblia imenibadilisha kabisa mfumo mzima wa maisha yangu

Huwa naamini misingi Ya kufanikiwa ipo kwenye Biblia .

Ujasiri, kutumaini katika unachokifanya, upendo, subira, uvumilivu, kuwa na kias katika mambo tuyafanyayo yote haya utajifunza ukisoma na kutafakari biblia.

Umuhimu wa juhudi katika kazi, kujari maslah Ya wengine, kuwainua wengine Kwa kuitumia nafasi yako, kuyatambua na kuyatimiza majukumu yako kifamilia, kuishi vizuri na mke na watoto,,, yote haya utayajua ukisoma na kuitafakari biblia.

Kutowahukumu wengine, ukuhimu wa sadaka, Shukran na sehemu Ya kumi Ya mapato yako pia kuweza kuicontrol pesa ili isiharibu uhusiano wako na mungu na wanadamu na kuuchafua utu wako.

Ni mengi sana nimejifunza na bado naendelea kujifunza na kuapply katika maisha halisia kiukweli ni raha sana ,,mimi ilikua ukinizingua lazima nikupasue au nikutapikie lakini sasa hivi natumia positive alternative kukabiliana na wewe
 
 
 
hapo kwenye point ya mwisho kwenye dont let too big for him what it means?
 
Sijawahi soma kitabu chochote ila natamani na ninapenda sana kusoma vitabut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…