Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Dah.... Bulicheka na Elizabeth [emoji87] [emoji13] [emoji41]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

=========

Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
Holly Bible
 
Yaani hiki Kitabu ni mwisho wa maneno. Hakuna kitabu kingine chochote duniani kilicho kikongwe ambacho kina uwezo mkubwa wa kubadilisha maisha ya watu, kiroho na kimwili kuzidi Biblia . Mimi binafsi kimebadili maisha yangu kwa kiasi kikubwa kwa kupitia jina lipitalo majina yote... YESU KRISTO, mwokozi wa Ulimwengu. Kila mtu asikose kukisoma kitabu hiki kila siku.
Kila mtu akitaja kitabu cha dini yake patakuwa padogo humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamu usio na hamu
By zubagy akilimia[emoji23][emoji110]
 
Back
Top Bottom