Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Don't waste your tears! Nilikisoma mara moja nakitafuta hadi leo!
 
The Magic by Rhonda Bryne ni kitabu kimebadili maisha yangu
Mkuu,
Huyu mama namkubali sana,
Nimesoma THE SECRET na THE POWER
Hivyo vyote kaandika RHONDA BRAYNE jaribu kusoma na hivyo pia.
 
Kumfusa Kristo...kitabu cha karne ya 15 kilichotafsiliwa na masista...wa Mt. Francis, nilivyokua kabla na baada ya kukisoma ni historia ndefu sana.
 
Back
Top Bottom