Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una pdf ya hicho kitabu mkuuThe Big Picture: Ben Carson.
Hichi kitabu kilinifanya nikagundua kwa nini nipo hapa nilipo na nitatokaje hapa nilipo. Na nilikinunua when i was going through a difficult phase in my life. It was an eye opener.
My favourite bookThe magic of thinking big by David what a book to read nimekisoma kilinifanya nasahau njaa kama inauma kila nikimaliza page nazid kuendelea
namii pls ukipata mdaWote mlionitumia emails nimeshawatumia vitabu hivyo vitatu.
asante sana kwa alieanzisha hii thread, imenisaidia, nimpepata kitabu kimoja cha the rich man from babylon, kikubwa nilichosoma ni kuweza 1/10 ya mapato yote unayopata, NATAFUTA KITBU CHOCHOTE CHA STRTEGIES OF WAR, THANK U
Rich dad poor dad is my bestSoma The Art of War by Sun Tzu (The Internet Classics Archive | The Art of War by Sun Tzu)
and The Prince by Nicolo Machiavelli. (https://www.gutenberg.org/files/1232/1232-h/1232-h.htm)
Rich dad poor dad is my best
Kuna vitabu vitatu ambavyo vimeshangia kubadili maisha yangu kwa kiwango kikubwa sana. Ningependekeza kila mtanzania avisome.
1. THINK AND GROW RICH
Hiki kimenisaidia kuweza kufikia uwezo mkubwa ulio ndani yangu na kuniwezesha kuona fursa nyingi zinazonizunguka.
2. RICH DAD, POOR DAD
Hiki kimenisaidia kuhusu utofauti kati ya elimu ya darasani na elimu halisi ya mtaani. Kimenisaidia kuona mambo ambayo nilifichwa darasani na ambayo ni ya msingi sana ili kufanikiwa.
3. THE RICHEST MAN IN BABYLON
Hiki kimenisaidia kuhusiana na maswala yote yanayohusuana na fedha kuanzia kuweka akiba mpaka kuwekeza. Kimeniwezesha kuweza kujilipa mimi mwenyewe hata kwa kipato kidogo sana na kuweza kujenga akiba iliyotosha kuanzia biashara.
Hivyo ni vitabu ambavyo natamani kila mtanzania avisome. Kama huna vitabu hivi nitumie email kwenye amakirita@gmail.com na nitakutumia vyote vitatu bure kabisa.
Au unaweza kutembelea AMKA MTANZANIA na ukajifunza mengi pamoja na uchambuzi wa vitabu hivi.