Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kalulu the hare, nakumbuka mwl wetu wa engilish alikua na mapengo hawezi kusema this yeye asema zis na mate kibao yanamwagika ila wewe ukikosea kuitamka unakula bakora za kutosha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The power of subconscious Mind cha Marphin. Those who are in difficult situation (whatever) try to find this book!!!
 
NI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.



Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote

1548069027674.png
 
Lipo group moja la ma full consciousness nondo nyingi sana za kujitambua from different sources za vitabu; lina ada ya buku tano kwa mwezi; mi ni member sijutii kuwa huko
 
Back
Top Bottom