Mkuu naingiaje kwa hii whatsapp grupKaribuni Group la usomaji vitabu Whatsapp
Think and grow Rich by Napoleon hillMkuu naingiaje kwa hii whatsapp grup
GodyNI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.
Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote
View attachment 1001069
NI VIGUMU KUNISHAWISHI KAMA KUNA KITABU KIZURI ZAIDI YA HIKI.
Nimesoma zaidi ya vitabu 150 mpaka sasa ila hiki ni mwisho wa matatizo.Vitabu wanavyovitaja nimevisoma karibu vyote
View attachment 1001069
TPH BookshopSource yake ni wapi ndugu?unavipatia wapi??
Iyo buku tano anachukua nan?Lipo group moja la ma full consciousness nondo nyingi sana za kujitambua from different sources za vitabu; lina ada ya buku tano kwa mwezi; mi ni member sijutii kuwa huko
Someone told me kinaboa nikaacha kukisoma"The magic of thinking big" kilinibadili maisha yakawa ya kujiamini zaidi