Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Jitambue na bado ninacho ukisoma hiki utakua levo nyingine ki fikira,na kingine kinaitwa mushauri wako hiki sina.
 
Mkuu naomba uweke majina ya hizo app hapa kwa faida ya wengi
 
Mkuu naomba uweke majina ya hizo app hapa kwa faida ya wengi
Poa, hizo app ni vitabu vyenyewe ukienda playstore utavipata, ila nitaandika majina ya vitabu nilivyonavyo


Kama unataka utitili wa vitabu tembelea web ya Pdf drive, hapo ni balaa. Kwingine telegram kuna channel lukuki tu za vitabu
 
1.The way of the superior man by david deida

How to win and influence people by Dale Carnegie, humu nimejifunza principle ya "Dont Complain,Critisize or condemn people".
 
Biblia halisi, siyo ile ya makabayo
 
Msaada anayeweza kunipatia soft copy ya kitabu cha BECOMING SUPERNATURAL BY DR JOE DISPENZIA.au sehemu ya kukipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…