Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,020
- 6,161
The 7 Habits of Highly Effective People - Stephen Covey.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Youtube kuna "full audiobook version"Wakuu mi natafuta kitabu cha LAWS OF HUMAN NATURE kilochoandikwa na Robert Greene.
Youtube kuna "full audiobook version"
Jitambue na bado ninacho ukisoma hiki utakua levo nyingine ki fikira,na kingine kinaitwa mushauri wako hiki sina.
Mkuu naomba uweke majina ya hizo app hapa kwa faida ya wengiTHE BOOK IS MY ROYAL BEST FRIEND....SIJAWAHI SALITIWA NA KITABU HATA SIKU MOJA. VITABU VIMENIFANYA NI BADILI MTAZAMO NA KUJENGA IMANI YANGU UPYA. NILIANZA KUSOMA VITABU VYA ART OF LIVING MWAKA 2015. KITABU CHANGU CHA KWANZA NI HIKI HAPA "SIXTEEN LAWS OF SUCCESS By NAPOLEON HILL". MPAKA SASA NI SHASOMA VITABU VINGI SANA NA BADO NAFARIJIKA NA VITABU MPAKA SASA.
MPAKA KATIKA SMARTPHONE NINA APPLICATION ZA VITABU 16. AMBAVYO NINA MPANGO WA KUVISOMA NDANI YA MIEZI MIWILI TU NISHASOMA VIWILI HADI SASA.
Poa, hizo app ni vitabu vyenyewe ukienda playstore utavipata, ila nitaandika majina ya vitabu nilivyonavyoMkuu naomba uweke majina ya hizo app hapa kwa faida ya wengi
Ukienda Pdf drive utapata maana wengi hawajawa interested na forexvitabu vya forex havipo hapa
Youtube kuna "full audiobook version"
Anahisi kuwa una fanana naye ndiyo maana anataka ukisome, ili mwende sawaVp mkuu hicho kitabu kipo fresh ulivyokiona mana lecturer wang mmoja hiv aliniambia nikisome na had leo sijasoma
1.The way of the superior man by david deida
How to win and infuluence people by Dale Carnegie, humu nimejifunza principle ya "Dont Complain,Critisize or condemn people".
Biblia halisi, siyo ile ya makabayoVitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.
=========
Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
Pamoja mkuuUMETISHA MZEE
Mwenye soft copy au msaada sehemu ya kukipataMsaada anayeweza kunipatia soft copy ya kitabu cha BECOMING SUPERNATURAL BY DR JOE DISPENZIA.au sehemu ya kukipata