Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Mnaweza pita pia maktaba app, kuna vitabu vingi sana vya kiswahili vya bure.
 
title: ATOMIC HABITS
authour: james clear
hiki kitabu kimenifunza mengi
 
mkuu mimi nipo katika blog yako na tuna burudika na baadhi ya vitabu vyako. naweza pata hichi kitabu cha FEAR IN BONGOLAND(burundi refugees in urban tanzania ) by MARC SOMMERS. nakihitaji sana sana
TRY THIS !
 
SIMU YA KIFO
 
Kuna kitabu kinaitwa "Work Smarter, Not Harder" by Timo Kiander. Ni kitabu kizuri sana hasa wakati huu wa utandawazi na Ulimwengu wa 'Social Media'.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…