Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Miradi Bubu ya Wazalendo cha Prof Gabriel Ruhumbika,wallah hiki kitabu ni kizuri sana sana sana.Sitakisahau.
Malimba ya MAJALIWA cha Mzee Ngoswe EEdwin Semzaba.
Think and Grow Rich kimenijengea hali ya kupenda kuthubutu katika kuendea maendeleo au kahangaika kusaka mkate
Nauomba kitabu cha miradi bubu
 
Vitabu vinauwezo wa kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya dunia wajapan walikuja na nadharia iitwayo KAIZEN (Continuous improve), yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.

Hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu yawezekana ulisoma wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.

Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii, kibiashara, kitaaruma, kimitazamo, kiimani, kimwili, mahusihano nk kupitia vitabu.

Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani wanajf wenzako tujifunze pia, unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi kama hutojali.

=========

Unaweza kujipakulia au kujisomea baadhi ya Vitabu kwenye hii thread=>Vitabu vilivyowahi kubadilisha maisha yako
Rich Dad poor dad
 
Kimenipa maujanja flani ambayo naimani kubwa mtu akiyazingatia lazima atakuwa vyedi Sana kinaitwa mtu tajiri zaidi Babylon (The Richest Man in Babylon)
 
Kimenipa maujanja flani ambayo naimani kubwa mtu akiyazingatia lazima atakuwa vyedi Sana kinaitwa mtu tajiri zaidi Babylon (The Richest Man in Babylon)
Unacho Cha kiSwahili m nnacho Cha kiingereza Ila natamani ningepata Cha kiswahili
 
Miradi Bubu ya Wazalendo cha Prof Gabriel Ruhumbika,wallah hiki kitabu ni kizuri sana sana sana.Sitakisahau.
Malimba ya MAJALIWA cha Mzee Ngoswe EEdwin Semzaba.
Think and Grow Rich kimenijengea hali ya kupenda kuthubutu katika kuendea maendeleo au kahangaika kusaka mkate
Naweza kukipata miradi bubu ya wazalendo
 
Back
Top Bottom