Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

BUSARA ZA MZEE,Kimeandikwa na Fr.Titus Amigu aliyekuwa Gombera wa Seminari Kuu ya Peramiho.Kitabu bomba sana hicho kimegusia kila nyanja ya Maisha,Hakuna jambo ktk maisha haya ambalo hajalizungumzia.
 
My list.
1.the bible.
2. Art of war by San zsu.
3.1984 by george Orwell.
4. The prince by nicollo Machiavelli.
4. War and peace by Leo Tolstoy.
5. The illiad by homer.
6. David Copperfield by Charles Dickens.
7. The negro by w.b.de bois.
8. Beyond good and evil by Nietzsche.
9. The world is flat.
10. The republic by Plato.
11. The origin of species


To be continue....
 
1Biblia takatifu
2.unyoya wa kipanga azizi 3.Bibi Myombekele na Bugonoka, juzuu ya pili by anicet kiteleza.
4.This is Living and other stories na
5. Umma wa komuna ya watu wa Peking,jinsi walivyofanikiwa chini ya Mao Tse Tung
 
Kitabu kibadili maisha upuuzi mtupu labda pesa zigeuke kitabu ndipo nitasoma nibadili maisha.
 
Miradi Bubu ya Wazalendo cha Prof Gabriel Ruhumbika,wallah hiki kitabu ni kizuri sana sana sana.Sitakisahau.
Malimba ya MAJALIWA cha Mzee Ngoswe EEdwin Semzaba.
Think and Grow Rich kimenijengea hali ya kupenda kuthubutu katika kuendea maendeleo au kahangaika kusaka mkate
 
biblia ndo ktabu pekee kinachonipa amani ya moyo wangu nikiamin kua kuna maisha baada ya kifo
 
Learning the hard way - Yusuph akilimali

The stranger in the mirror - Sydney Sheldon

The zahir- Paulo coelho

Dreams memories and reflection- Carl gustav Jung
 
Morals and dogma of ancient and accepted Scottish rite- Albert pike
 
safari ya msafiri. kimeandikwa na JOhn Bunyan kikatafsiriwa kwa kiswahili na Tanzania publishers.
 
BUSARA ZA MZEE,Kimeandikwa na Fr.Titus Amigu aliyekuwa Gombera wa Seminari Kuu ya Peramiho.Kitabu bomba sana hicho kimegusia kila nyanja ya Maisha,Hakuna jambo ktk maisha haya ambalo hajalizungumzia.

kitakitafuta ninavyo vitabu vyake vingine ni muandishi mzuri sana.
 
Back
Top Bottom