Onesmo NB Nicholaus
Member
- Jul 10, 2015
- 49
- 2
jameni naombeni mnisaidie jinsi ya kupata hivi vitabu najitahidi kuvisoma ila kila nikitafuta nashindwa kuvipata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia Takatifu ndiyo mwisho wa mambo yote,kila kilichopo duniani kimeandikwa humo.
Jaribu kuigia mtandaoni.....weka jina la kitabu....downloadJamani naomba mnisaidie nivipate hivyo vitabu
natamani sana nivisome lakini kila njia nayojaribu ili nivipate nashindwa. naombeni msaada wenu
Nataka softcopy.karibu mwezi niko navitafuta cjapata hata kimoja
okey asanteJaribu kuigia mtandaoni.....weka jina la kitabu....download
Huu uzi poa sana
natamani uwe stiky sehemu niwe naupitia kila mara!
shikamoo mleta uzi
Wote mlionitumia emails nimeshawatumia vitabu hivyo vitatu.
The secret of millionaires mind,richdad poor dad,richest man in Babylon,the magic of thinking big,think and grow rich,the monk who sold his Ferrari hivi ndo naona viliniifanya nibadili uelekeo wa maisha yangu.na vingine vingi too bad naona npo nyuma ya malengo mwaka huu ya kusoma vitabu 20 na ndo kwanza nipo cha NNE,mwaka Jana nlitimiza malengo
Mnaonaje tuki create book club?