Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

Naomba mtu asome kitabi hiki kama hujakisoma: Change your Thinking, Change Your Life, by Tracy Brian

Kina mambo kuntu sana, ingia play store utakipata kama application ya simu, kama ni ngumu kidowload pdf.

"In brain we invest to deliver the best"
 
Tangu nimeona huu uzi mwezi wa tatu mwaka 2019, nimesoma
Things fall apart
Fools die
Goodfather.
Natarajia kusoma vitabu vingi zaid mpaka huu mwaka kuisha.
SHUKRANI JAMII FORUM.
 
Hiyo Fools Die napata uvivu kuimaliza. Nimekianza last year but huwa nakiweka pending na kusoma vitabu vingine mpaka vinaisha
 
Boss hicho kiondolee uvivu kabisa, hutajutia kukimaliza, wajinga wanakufa kweli kimenifanya kuelewa ujinga nin nasitamani kufa kma hao wajinga waliokufa humo
 
Akiwemo jamaa aliyejiua...etc.

Nimefika pale Merlin ameanza kudate kale kadada
 
Back
Top Bottom