NJOMBE KING
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 197
- 22
Kitabu cha WATUMWA BAADA UHURU TANZANIA. Kimeandikwa na Mapinduzi j.t mwaka 2000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BIBLIA ni kitabu pekee kilichnbadili na kinaendelea kubadili maisha yangu kila ningpoendelea kukisoma. Jaribu na wewe.Vitabu vinauwezo wa
kubadili kabisa maisha ya mtu yeyote yule. Baada ya vita vya pili ya
dunia wajapan walikuja na nadhalia iitwayo KAIZEN (Continuous improve),
yaani angalau kila siku uongeze kitu kipya kichwani chenye kukuza uelewa
wako na kuboresha maisha yako kwa njia yeyote ile.
hapa tujadili nguvu ya vitabu katika maisha ya mtu. yawezekana ulisoma
wewe au umewahi kukisikia kwa watu tushirikishane.
Kuna wengi tumebadilishwa au kuboreshwa maishani mwetu kiafya, kijamii,
kibiashara, kitaaruma,kimitazamo, kiimani, kimwili, mausihano nk kupitia
vitabu.
Kitabu gani ambacho kiligusa maisha yako au kukubadilisha na unatamani
wanajf wenzako tujifunze pia. unaweza kueleza kimekusaidiaje kwa ufupi
kama hutojali.
dah! sasa nitakisomaje kama sijaenda skuli?