Daah that what i want unaweza nitajia pakupata hizi strategies sijui vitabu nkFund kwanza uchome ndio madude yatapanda.
Nachomaanisha hapa ni kwamba, ili uwe mkulima hodari inabidi angalau upate kashikashi kidogo ndipo utakomaa kikulima.
Unless otherwise nakushauri kajisomee strategy hizi 3:
1. Supply and Demand
2. BTMM
3. ICT
Baada ya kupitia hizo strategy 3 ndio utapata picha halisi la fx likoje.
Forex nzima imefafanuliwa Ndani ya kitabu kimoja tu, kinaitwa The Forex BibleWadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili
1)Forex Bible
2)Candlestick Bible
Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge.
Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi.
NB: Sihitaji wale wazee wa Forex sio Kusoma vitabu I know what am doing, I Know my plan.
Kama ulisoma kuelewa hivyo vitabu na sio ili mradi umalize, unachotakiwa ni kutengeneza (entry and exit rules/ a strategy) ambazo zinakufaa wewe.Wadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili
1)Forex Bible
2)Candlestick Bible
Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge.
Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi.
NB: Sihitaji wale wazee wa Forex sio Kusoma vitabu I know what am doing, I Know my plan.
Muongozo mzuri sana.Forex nzima imefafanuliwa Ndani ya kitabu kimoja tu, kinaitwa The Forex Bible
Ukikisoma hicho kitabu hakuna Haja ya kusoma kitabu kingine chochote ili kupata basics
Baada ya kusoma hicho kitabu, tambua ni strategy ipi ambayo ungependa kutumia kisha tafuta vitabu vinavyoelezea hio strategy
Kwa upande wangu Mfano, mimi ni Pure Price Action Trader, Kuna vitabu vizuri viwili vilivyoelezea hii Price Action
Kama wewe ni mvivu na haupendi kusoma, tafuta kitabu kinaitwa The Ultimate Guide to Price Action
Ila,
Kama unataka kuwa master mzuri wa Price Action, basi ni vema ukatafuta kitabu hiki...
...Technical Analysis of the Financial Markets: A Comprehensive Guide to Trading Methods and Applications by John Murphy
Hope you find it helpful,
Cheers!!
Kuna Msela anaitwa Timon Weller ana kazi zake tatuWadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili
1)Forex Bible
2)Candlestick Bible
Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge.
Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi.
NB: Sihitaji wale wazee wa Forex sio Kusoma vitabu I know what am doing, I Know my plan.
Guideline nzuri.Kuna Msela anaitwa Timon Weller ana kazi zake tatu
1. 5-day trend training
2. Candlestick Training Series
3. Engulfing Trader Series
Ukizipata kisha ukachanganya na hivi vitabu umesoma itakuwa umepiga hatua.
Best wishes Elion.
Wadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili
1)Forex Bible
2)Candlestick Bible
Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge.
Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi.
NB: Sihitaji wale wazee wa Forex sio Kusoma vitabu I know what am doing, I Know my plan.
Technical Analysis of the Financial Markets: A Comprehensive Guide to Trading Methods and Applications by John Murphy has been attached for interested forex traders
Nahitaji hicho kitabu cha The Forex Bible, mwenye nacho anisaidie tafdhali!Forex nzima imefafanuliwa Ndani ya kitabu kimoja tu, kinaitwa The Forex Bible
Ukikisoma hicho kitabu hakuna Haja ya kusoma kitabu kingine chochote ili kupata basics
Baada ya kusoma hicho kitabu, tambua ni strategy ipi ambayo ungependa kutumia kisha tafuta vitabu vinavyoelezea hio strategy
Kwa upande wangu Mfano, mimi ni Pure Price Action Trader, Kuna vitabu vizuri viwili vilivyoelezea hii Price Action
Kama wewe ni mvivu na haupendi kusoma, tafuta kitabu kinaitwa The Ultimate Guide to Price Action
Ila,
Kama unataka kuwa master mzuri wa Price Action, basi ni vema ukatafuta kitabu hiki...
...Technical Analysis of the Financial Markets: A Comprehensive Guide to Trading Methods and Applications by John Murphy
Hope you find it helpful,
Cheers!!
SI KWELI.Fund kwanza uchome ndio madude yatapanda.
Nachomaanisha hapa ni kwamba, ili uwe mkulima hodari inabidi angalau upate kashikashi kidogo ndipo utakomaa kikulima.
Unless otherwise nakushauri kajisomee strategy hizi 3:
1. Supply and Demand
2. BTMM
3. ICT
Baada ya kupitia hizo strategy 3 ndio utapata picha halisi la fx likoje.
You have long way to go brother.You are just introduced to fx.Wadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili
1)Forex Bible
2)Candlestick Bible
Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge.
Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi.
NB: Sihitaji wale wazee wa Forex sio Kusoma vitabu I know what am doing, I Know my plan.
Umetaja strategy njema sana,ICT ilinisaidia sana kwny market structure[emoji106] maana nliingia mazima btmm weeeFund kwanza uchome ndio madude yatapanda.