Kitabu gani cha kusoma baada ya Forex Bible na Candlestick Bible?

Kitabu gani cha kusoma baada ya Forex Bible na Candlestick Bible?

Wadau wa Forex mimi Newbie katika FX, nimesoma vitabu viwili

1)Forex Bible
2)Candlestick Bible

Naomba recommendation ya kitabu cha 3 na cha 4 cha kusoma kitachonijenga zaidi na kuendana na mfuatano mzuri wa knowledge.

Na itakuwa vizuri ukiniambia humo nitajifunza nini zaidi.

NB: Sihitaji wale wazee wa Forex sio Kusoma vitabu I know what am doing, I Know my plan.
Hebu tuma hicho cha forex bible mkuu
 
Usipochoma akaunti bado hujawa trader.

Hakika nakuambia.

Hayo mavitabu hayana uhalisia.

Njo kwenye market ujifunze.
 
Back
Top Bottom