Kitabu hiki utanipatia kwa Tsh ngapi? Nimekitafuta sana.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Niliwahi kuja na uzi humu wa kitafuta vitabu vya Alfu lela ulela matoleo ya zamani. Vilitoka vitabu vinne. Nilipata toleo la 2,3 na 4. Bado la 1 sijapata. Kama unalo naomba kupata scanned copy yake.
 
Kitabu kikali sana pia kuna kitabu cha Machimbo ya mfalme suleiman na Mohammed mtepevu kuvipata ni noma.Kuna Ammi yangu anaitwa Abdallah Msaka Njia alikuwa Bakita alikuwa navo vote.
 
Kitabu kikali sana pia kuna kitabu cha Machimbo ya mfalme suleiman na Mohammed mtepevu kuvipata ni noma.Kuna Ammi yangu anaitwa Abdallah Msaka Njia alikuwa Bakita alikuwa navo vote.
Ni hazina. Tunafeli sana. Vitabu hivi kwenye maktaba za nje ukisearch vimejaa tele. Maktaba zetu hata catalog ya mtandaoni hawana!
 
Nenda makumbusho ya taifa dsm.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mbona kupo kwa soft copy japo huwezi kukidownload? Mi natafuta hekaya za abunuwasi orijino version
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…