DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitamu sana hicho kitafute mkuu wanguHiki cha alkhaji ndo kukitia machoni leo
Sawa mkuu wanguKitamu sana hicho kitafute mkuu wangu
Wahi tiba yakheWabadu wakatabahu fakir.
Nayeyuka huku nikiweweseka kiwendawazimu.
An empty mind is a devil's workshopWahi tiba yakhe
Huyo alishaandika labda anataka kiachiwe akifaMstaafu Kikwete aandike pia kitabu maana ni Mzee pia,
Asijesahau kuwa,Kuna kupoteza kumbukumbu, aandike mapema.
Kwanini Afanye hivyo?Huyo alishaandika labda anataka kiachiwe akifa
Alitangaza kuwa kashaandila kitabu cha maisha yake kabla hata ya mwinyi..Kwanini Afanye hivyo?
Mbali na kitabu kuhusu maisha yake, ana vitabu vingine amewahi kuandika tupate madini?
Waafrika tunakwama sana Kutoandika vitabu.
Labda Katia chumvi kidogo😀Alitangaza kuwa kashaandila kitabu cha maisha yake kabla hata ya mwinyi..
Sasa sjui kwanini hakiachii labda pengine bado anahitaji uongozi labda akichukua AU ataandika