Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,467
Kwa Kweli kitakuwa Kitabu kizuri kweli kweli
Kikiuzwa kwa bei ya Kizalendo itabidi nikipate
Mzee mkapa alikuwa Rais kweli kweli
Hotuba za Mkapa zinafaa kabisa kufundishia Siasa au course za Habari
Serikali yake ilisifika kwa utawala bora na uwazi. Watu walipanda vyeo based on merits, seniority and experience. Sheria, taratibu na protocals ziliheshimiwa sana
Na Mimi nimeshangaaHmm....really?
Serikali yake ilisifika kwa utawala bora na uwazi. Watu walipanda vyeo based on merits, seniority and experience. Sheria, taratibu na protocals ziliheshimiwa sana
Bila kusahau kubinafsishwa Kwa benki ya NBCAsisahau kuongelea yaliyotokea Mwembechai, Pemba, Chaguzi za Zanzibar za 1995, 2000 na ufutaji wa matokeo ya ubunge dar yote mwaka 1995.
Vile vile atujuze mambo ya Tangold, meremeta, Kagoda, ANBEN na ujenzi wa majengo pacha ya BOT
Si kweli huu ni uongo!Mzee Mkapa alikuwa Rais wa Viwango vya nchi zilizoendelea
Ni kweliMzee Mkapa alikuwa Rais wa Viwango vya nchi zilizoendelea
Kwa lugha hiyo iliyotumika hakiwezi kuitwa cha kizalendo bali cha kibeberu. Asilimia ngapi ya wananchi wa kawaida watasoma kwa lugha hiyo? Ndogo sanaKwa Kweli kitakuwa Kitabu kizuri kweli kweli
Kikiuzwa kwa bei ya Kizalendo itabidi nikipate
Mzee mkapa alikuwa Rais kweli kweli
Hotuba za Mkapa zinafaa kabisa kufundishia Siasa au course za Habari
HABARI NJEMA.Taarifa rasmi inasema kua Kitabu Kipya cha Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea na Uongozi Institute, Katika kitabu hicho, pamoja na mambo mengine, Rais Mkapa atazungumzia historia yake toka utoto na Nyakati za Urais wake wa awamu ya 3
View attachment 1247419
View attachment 1247428
CCM kwa unafiki hamna mpinzani. Huyu lofa mara hii ashakuwa rais wa viwango?Mzee Mkapa alikuwa Rais wa Viwango vya nchi zilizoendelea
Mzee Mkapa alikuwa Rais wa Viwango vya nchi zilizoendelea