SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Kila nikikumbuka sera ya ubinafsishaji ilivyoturudisha nyuma sitaki hata kumsikia huyu Mzee.
Au kamlenga mtu fulani asikisomeKwa lugha hiyo iliyotumika hakiwezi kuitwa cha kizalendo bali cha kibeberu. Asilimia ngapi ya wananchi wa kawaida watasoma kwa lugha hiyo? Ndogo sana
Taarifa rasmi inasema kua Kitabu Kipya cha Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea na Uongozi Institute, Katika kitabu hicho, pamoja na mambo mengine, Rais Mkapa atazungumzia historia yake toka utoto na Nyakati za Urais wake wa awamu ya 3
View attachment 1247419
View attachment 1247428
Kwa Kweli kitakuwa Kitabu kizuri kweli kweli
Kikiuzwa kwa bei ya Kizalendo itabidi nikipate
Mzee mkapa alikuwa Rais kweli kweli
Hotuba za Mkapa zinafaa kabisa kufundishia Siasa au course za Habari
Ha haha, sasa anaweza kuwaita watu wake wamsomee. Mbaya ni kuwa watu wake ndio wanao andika magazeti yenye vichwa vya habari namna hii! AIBU KUBWAAu kamlenga mtu fulani asikisome
TUNA SUBIRI CHA MEMBE MY PROFILE.Taarifa rasmi inasema kua Kitabu Kipya cha Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolea na Uongozi Institute, Katika kitabu hicho, pamoja na mambo mengine, Rais Mkapa atazungumzia historia yake toka utoto na Nyakati za Urais wake wa awamu ya 3
View attachment 1247419
View attachment 1247428
Nafikiri akiringanishwa na huyuHmm....really?
Na yale ya pale Mwembe Chai,Magomeni,kinondoni mkoani DSM,kuna watu humu wana kumbukumbu kama za Tembo hawasahau.Vipi atagusia na ya Kiwira na yale yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001?
Alipewa uenyekiti wenza wa utandawazi akajiona mzungu, akauza kila kitu na kujiuzia mgodi. Kama humo hajazungumza makosa aliyofanya hicho kitabu atasoma mwenyewe.Mzee Mkapa alikuwa Rais wa Viwango vya nchi zilizoendelea
TUNA SUBIRI CHA MEMBE MY PROFILE.
Vipi atagusia na ya Kiwira na yale yaliyotokea Zanzibar mwaka 2001?