Kitabu Kipya: Historia na Kumbukumbu za Rais Mkapa kutoka Nov 12, 2019


Sinunui ungese huu!

Anajijua alitufanyia nini 2015!

Ungese juu ya ungese!

Who cares about this man?

At least me,He even do not exist to me at all!

Pptuuuu!
 
Nilikuwa napenda hityba zake hasa zile za kila mwisho wa mwezi. The fact that mashirika mengi yaliuzwa kiholel ktk kioindi chake will hunt him to death. Na kwa mawazo yangu atakuwa kalieleza hilo kwa undani.
Kwa Kweli kitakuwa Kitabu kizuri kweli kweli

Kikiuzwa kwa bei ya Kizalendo itabidi nikipate

Mzee mkapa alikuwa Rais kweli kweli

Hotuba za Mkapa zinafaa kabisa kufundishia Siasa au course za Habari
 
TUNA SUBIRI CHA MEMBE MY PROFILE.
 
Mzee Mkapa alikuwa Rais wa Viwango vya nchi zilizoendelea
Alipewa uenyekiti wenza wa utandawazi akajiona mzungu, akauza kila kitu na kujiuzia mgodi. Kama humo hajazungumza makosa aliyofanya hicho kitabu atasoma mwenyewe.
 
Hakika uongozi wa Mzee Mkapa uko controversial sana

Alifanya mazuri machache na mabaya mengi. Na atakumbukwa kwa mabaya zaidi maana mazuri hayako tangiable. Overall he is indeed a good man who ruled inside a bad system. Ni ngumu kucheza kwenye matope na kubaki msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…