Kitabu Kipya Kuhusu Siasa za 1960-64

Kitabu Kipya Kuhusu Siasa za 1960-64

paulbjerk

Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
6
Reaction score
1
Waheshimwa, nafurahi kutangaza kitabu kipya kuhusu Mwalimu Nyerere na siasa za miaka ya kwanza baada ya uhuru. Kwa bahati mbaya hardcover inayopatikana sasa ni gharama sana, lakini nategemea softcover itakuja kwa bei nafuu.

1427165659332.jpg

Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania, 1960-1964-
(Rochester, 2015)
Building a Peaceful Nation (Paul Bjerk) 9781580465052 - Boydell & Brewer
 
Nyie sio ndio waandishi vilaza mnao badilisha historia na kudanganya watanzania kwa kuandika vitu vya uongo kutunga kwa maslahi ya dini yenu ya kibaguzi na chama chenu cha wapumbavu............sasa ole wako tusome tukute dosari au uongo wowote kwenye historia........ndio utajua kuwa sio wote wanaosoma walizaliwa miaka ya tisini na elfu mbili.Take care........
 
We mbona unatishia watu halaf unaongea kwa Jazba, kama na wewe unaijua histoa si uandike kama unadhani ni rahisi?, Sijajua ni kwa nini sisu weusi hupenda sana kukosoa vitu vilivyohangaikiwa na wengine ilihali wenyewe hata uthubutu wa kufanya jambo hata dogo tu hatuna.

Ondoa Jazba mwache aletekitabu tukio
ne halaf mwenye uwezo wa kusahihisha historia naye aandike yake,

"Argue don't shout"
 
Nyie sio ndio waandishi vilaza mnao badilisha historia na kudanganya watanzania kwa kuandika vitu vya uongo kutunga kwa maslahi ya dini yenu ya kibaguzi na chama chenu cha wapumbavu............sasa ole wako tusome tukute dosari au uongo wowote kwenye historia........ndio utajua kuwa sio wote wanaosoma walizaliwa miaka ya tisini na elfu mbili.Take care........

kumbe hata kusoma hujasoma..mapovu yameshakutoka......Hata wachambuzi hucriticize baada ya kusoma,si kwa hisia tu..
 
Waheshimwa, nafurahi kutangaza kitabu kipya kuhusu Mwalimu Nyerere na siasa za miaka ya kwanza baada ya uhuru. Kwa bahati mbaya hardcover inayopatikana sasa ni gharama sana, lakini nategemea softcover itakuja kwa bei nafuu.

View attachment 237275

Building a Peaceful Nation: Julius Nyerere and the Establishment of Sovereignty in Tanzania, 1960-1964-
(Rochester, 2015)
Building a Peaceful Nation (Paul Bjerk) 9781580465052 - Boydell & Brewer
Kinapatikana wapi na bei kiasi gani?
 
Mzee, kitabu kinapatikana kwa Boydell & Brewer. Ukiagiza na offer code MKPC01, ni USD 90.
 
Back
Top Bottom