Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu dhidi ya timu ya Simba na Yanga,kwa namna wanavyopata ubingwa ila nikagundua haya.
Kwa soka la Tanzania,club ikiwa na uongozi imara alafu timu ikawa ya kawaida inauwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa mara nyingi sana.
Lakini pia ukiwa na timu bora alafu ukawa na uongozi dhaifu hauwezi kuchikua ubingwa kirahisi kwasababu ushindi wa timu pia utengenezw nje wa uwanja.
Club ya Simba.
Wana timu bora kuliko timu zote Tanzania ila uongozi ni mdhaifu,hivyo uwezekano wa Simba kukosa ubingwa unaweza kutokea kwasababu ya uongozi
Viongozi wa Simba wanaona ni sawa GSM kudhamini timu 9 ndani ya ligi yetu pasipo kutoa tamko lolote..tumeo tumeona timu zilizo dhaminiwa na GSM zinavyogawa point na magoli mengi kwa yanga.
Pia tunaona namna TFF inavyppanga ratiba ya ligi kuu kwa lengo lakuipa yanga comfidence kuelekea DARBY ya tar.8,pia uwanja wa tabora kufungiwa kwasababu za kisiasa ila ni kwa maslahi ya kuipalilia yanga iweze kumfunga Tabora.
Viongozi wa Simba wanajiadai sijui wastarabu hawakemei na kitoa msimamo wao juu ya haya mambo,ni ujinga na kama uongozi hamuwezi tupeni sisi tunauwezo mkubwa mno wa kuzuiya hayo mambo.
Tusishangae Ramadhani kayoko akachezesha Darby ya tar.8 alafu viongozi wa Simba wamekaa na kutulia kama kabeji.