Kitakachoifanya Simba ikose ubingwa sio ubora wa timu bali ni udhaifu wa uongozi wa club ya Simba

Hapo vip!!

Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu dhidi ya timu ya Simba na Yanga,kwa namna wanavyopata ubingwa ila nikagundua haya.

Kwa soka la Tanzania,club ikiwa na uongozi imara alafu timu ikawa ya kawaida inauwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa mara nyingi sana.

Lakini pia ukiwa na timu bora alafu ukawa na uongozi dhaifu hauwezi kuchikua ubingwa kirahisi kwasababu ushindi wa timu pia utengenezw nje wa uwanja.

Club ya Simba.
Wana timu bora kuliko timu zote Tanzania ila uongozi ni mdhaifu,hivyo uwezekano wa Simba kukosa ubingwa unaweza kutokea kwasababu ya uongozi

Viongozi wa Simba wanaona ni sawa GSM kudhamini timu 9 ndani ya ligi yetu pasipo kutoa tamko lolote..tumeo tumeona timu zilizo dhaminiwa na GSM zinavyogawa point na magoli mengi kwa yanga.

Pia tunaona namna TFF inavyppanga ratiba ya ligi kuu kwa lengo lakuipa yanga comfidence kuelekea DARBY ya tar.8,pia uwanja wa tabora kufungiwa kwasababu za kisiasa ila ni kwa maslahi ya kuipalilia yanga iweze kumfunga Tabora.

Viongozi wa Simba wanajiadai sijui wastarabu hawakemei na kitoa msimamo wao juu ya haya mambo,ni ujinga na kama uongozi hamuwezi tupeni sisi tunauwezo mkubwa mno wa kuzuiya hayo mambo.

Tusishangae Ramadhani kayoko akachezesha Darby ya tar.8 alafu viongozi wa Simba wamekaa na kutulia kama kabeji.
Tanzania ina wajinga wengi sana. Ati huyu nae ni mpenda mpira. Unashindwa kutoa sababu za kiufundi unaleta mambo ya VIJIWENI Kwenye visungura?
 
Hapo vip!!

Nimefanya uchunguzi wangu wa muda mrefu dhidi ya timu ya Simba na Yanga,kwa namna wanavyopata ubingwa ila nikagundua haya.

Kwa soka la Tanzania,club ikiwa na uongozi imara alafu timu ikawa ya kawaida inauwezo mkubwa wa kuchukua ubingwa mara nyingi sana.

Lakini pia ukiwa na timu bora alafu ukawa na uongozi dhaifu hauwezi kuchikua ubingwa kirahisi kwasababu ushindi wa timu pia utengenezw nje wa uwanja.

Club ya Simba.
Wana timu bora kuliko timu zote Tanzania ila uongozi ni mdhaifu,hivyo uwezekano wa Simba kukosa ubingwa unaweza kutokea kwasababu ya uongozi

Viongozi wa Simba wanaona ni sawa GSM kudhamini timu 9 ndani ya ligi yetu pasipo kutoa tamko lolote..tumeo tumeona timu zilizo dhaminiwa na GSM zinavyogawa point na magoli mengi kwa yanga.

Pia tunaona namna TFF inavyppanga ratiba ya ligi kuu kwa lengo lakuipa yanga comfidence kuelekea DARBY ya tar.8,pia uwanja wa tabora kufungiwa kwasababu za kisiasa ila ni kwa maslahi ya kuipalilia yanga iweze kumfunga Tabora.

Viongozi wa Simba wanajiadai sijui wastarabu hawakemei na kitoa msimamo wao juu ya haya mambo,ni ujinga na kama uongozi hamuwezi tupeni sisi tunauwezo mkubwa mno wa kuzuiya hayo mambo.

Tusishangae Ramadhani kayoko akachezesha Darby ya tar.8 alafu viongozi wa Simba wamekaa na kutulia kama kabeji.
acheni upumbavu nyie makolo!lkila kitu kayoko kayoko!mnakua kama wanawake malaya!mbwa nyiee!kubalini YANGA ana team nzuri kuliko nyie, YANGA kawafunga mara 4 mfululizo kwa hyo na nyie mnagawa point bure kwa YANGA??na nyie makolo ni tawi la YANGA??au hizo mechi nne zote kachezesha KAYOKO??acheni ujingaaa!mbwa kabisa nyie!nyie ndo mnafanya ligi inashuka thamani kwa upuuzi wenu!!

Juzi draw na azam , GSM ndo kasababisha?? mafala wakubwa nyie!mnakera sana!!
 
Achana nao hao wapuuzi awajui ata wanachokitafuta,,kipindi wanashinda na yanga anapoteza walikuwa kimyaa cikusikia kelele za gsm anaharibu ligi bali walikuwa wanakenua tu sasa yanga karudi kwenye fomu yake na vilio vimeanza vya gsm anaharibu ligi,,Mangungu anaongoza empty brain nyingi sana pale ukoloni!
 
Kwamba hii Nchi Kila Mtu ni Utopolo??? Yaan kwenye hizo Timu zote tunazolalamika kila siku kuwa GSM anadhamin na kwamba kupitia udhamin wake kuna faulo zinachezeka hiv hakuna hata Mwanasimba mmoja wa anayeweza kutoka hadharan na kusema hizo Faulo za GSM????? Maana naona hoja nyingi zimekaa katika hisia tu na si vingine. Utopolo walicheza na Azam wakafungwa na Red kadi Juu, Hukuwah kuwasikia hata Mashabiki wakilaum Refa au wachezaji kuwa wameuza Match, Kwa nin Simba tuuu??? Yaan Simba ikifungwa watu busy kutafuta mchawi.
Kuna kitu hakipo sawa Kwa wanasimba na tena viongozi wanasababisha hilo, na kwa mda mrefu wamekuwa wakitumia kama kichaka cha kujificha hata pale wanapokuwa wameshindwa kutimiza Majukum yao. Tunazilaum bure tim ndogo kwamba zinatoa point za Bure kwa Yanga, Simba yenye wachezaji wenye daraja la juu kama yanga mbona mara kdaha nasi tunashindwa kupata matokeo mbele ya Yanga??
Kaka huko ulipo kunywa soda!ww kundi la mambumbu haupo kabisaa!!una akili timamu
 
Ndio hao hao marefa wa mchango ndio wanaoisaidia yanga, mfano, kayako anapangwa na bodi ya ligi kwamakusudi ya kuidhulumu Simba...sasa hapa Simba ikipoteza match lawama haitakuwa kwa wachezaji bali kwa waamuzi na kwa uongozi wa Simba
Mechi zote nne kachezesha kayoko??
Mechi na azam kachezesha kayoko
Embu tuondolee ujinga wako hapa
 
Kwamba hii Nchi Kila Mtu ni Utopolo??? Yaan kwenye hizo Timu zote tunazolalamika kila siku kuwa GSM anadhamin na kwamba kupitia udhamin wake kuna faulo zinachezeka hiv hakuna hata Mwanasimba mmoja wa anayeweza kutoka hadharan na kusema hizo Faulo za GSM????? Maana naona hoja nyingi zimekaa katika hisia tu na si vingine. Utopolo walicheza na Azam wakafungwa na Red kadi Juu, Hukuwah kuwasikia hata Mashabiki wakilaum Refa au wachezaji kuwa wameuza Match, Kwa nin Simba tuuu??? Yaan Simba ikifungwa watu busy kutafuta mchawi.
Kuna kitu hakipo sawa Kwa wanasimba na tena viongozi wanasababisha hilo, na kwa mda mrefu wamekuwa wakitumia kama kichaka cha kujificha hata pale wanapokuwa wameshindwa kutimiza Majukum yao. Tunazilaum bure tim ndogo kwamba zinatoa point za Bure kwa Yanga, Simba yenye wachezaji wenye daraja la juu kama yanga mbona mara kdaha nasi tunashindwa kupata matokeo mbele ya Yanga??
Hauna haja ya kuongea sana mkuu. Rage alishamaliza kila kitu
 
Back
Top Bottom