Kitakachoifanya Simba ikose ubingwa sio ubora wa timu bali ni udhaifu wa uongozi wa club ya Simba

Tanzania ina wajinga wengi sana. Ati huyu nae ni mpenda mpira. Unashindwa kutoa sababu za kiufundi unaleta mambo ya VIJIWENI Kwenye visungura?
 
acheni upumbavu nyie makolo!lkila kitu kayoko kayoko!mnakua kama wanawake malaya!mbwa nyiee!kubalini YANGA ana team nzuri kuliko nyie, YANGA kawafunga mara 4 mfululizo kwa hyo na nyie mnagawa point bure kwa YANGA??na nyie makolo ni tawi la YANGA??au hizo mechi nne zote kachezesha KAYOKO??acheni ujingaaa!mbwa kabisa nyie!nyie ndo mnafanya ligi inashuka thamani kwa upuuzi wenu!!

Juzi draw na azam , GSM ndo kasababisha?? mafala wakubwa nyie!mnakera sana!!
 
Achana nao hao wapuuzi awajui ata wanachokitafuta,,kipindi wanashinda na yanga anapoteza walikuwa kimyaa cikusikia kelele za gsm anaharibu ligi bali walikuwa wanakenua tu sasa yanga karudi kwenye fomu yake na vilio vimeanza vya gsm anaharibu ligi,,Mangungu anaongoza empty brain nyingi sana pale ukoloni!
 
Kaka huko ulipo kunywa soda!ww kundi la mambumbu haupo kabisaa!!una akili timamu
 
Ndio hao hao marefa wa mchango ndio wanaoisaidia yanga, mfano, kayako anapangwa na bodi ya ligi kwamakusudi ya kuidhulumu Simba...sasa hapa Simba ikipoteza match lawama haitakuwa kwa wachezaji bali kwa waamuzi na kwa uongozi wa Simba
Mechi zote nne kachezesha kayoko??
Mechi na azam kachezesha kayoko
Embu tuondolee ujinga wako hapa
 
Hauna haja ya kuongea sana mkuu. Rage alishamaliza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…