Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
kumung'atua hili neno ulitotumia sio zuri sanaNa njia nyingine ya kuiokoa ccm ni kumbandua Samia
Hawata usikiliza ushauri wako,kilicho salia ni kuzikwa tuu,kwenye lile kaburi alilowachimbia Kipanya!Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana.
Chadema walitoa mwanga CCM fuateni mpone
Ccm Kwa sasa Kuna magenge yanayopimana nguvu, kundi la jk ndo liko na mpini now, wengine wameshika makali....Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana.
Chadema walitoa mwanga CCM fuateni mpone
Sana, imeimarika na kuogopwa na watawala zaidiUle mchakato uliisambaza chadema
Uchaguzi wa Januaru 21 , 2025 wa Chadema ume Lay Baseline kama Reference ya Uchaguzi Bora kabisa ktk Bara la Afrika.Kwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana.
Chadema walitoa mwanga CCM fuateni mpone
Washiriki wakiwa nyumbani kwao na sio tena JK convetion centre ya dodoma?Miaka yote vikao vya CCM hurushwa live!
Kifupi mchakato wa live ndio ukiopelekea kuzaliwa kwa CDM ya asali na maziwa sisiemu hawawezi kujaribu mambo yaleKwa hali ilivyo ndani ya CCM kwa sasa kitu pekee kitakachoiokoa CCM ni mchakato wa wazi na unaorushwa live kwenye luninga nchi nzima na vyombo vyote vya habari. Kinyume na hapo Chama hakuna tena na kitakachofuata ni kuumizana tu huku wapinzani wa ndani wakiongezeka sana.
Chadema walitoa mwanga CCM fuateni mpone
Tunabana matumizi mkuu.Washiriki wakiwa nyumbani kwao na sio tena JK convetion centre ya dodoma?
Bandua ,kutenganisha kitu kilichojishikiza kwa nguvukumung'atua hili neno ulitotumia sio zuri sana
Anadhani ameshakaba kote kote. Atajua hajui!Kwa mapenzi kidogo niliyonayo kwake Bi shost Samia, ninamshauri asiingie kwenye kinyang’anyiro cha wazi kama cha Chadema. Atashangaa hata wale aliodhani ni watu wake si wake tena. Lile jina “mama” ni kwa ule urais wake tu sasa huko anakoelekea ataitwa Samia.
Kung'atuka ni hiari. Anatakiwa abanduliwe amekataa hiari.kumung'atua hili neno ulitotumia sio zuri sana