Kitakachoikoa CCM ni mchakato wa wazi na live kama ule wa CHADEMA

Kitakachoikoa CCM ni mchakato wa wazi na live kama ule wa CHADEMA

Tangu Mfumo wa Vya Upinzani uje,CCM halisi ilishajifia zamani!
Hata hii CCM ya sasa inapumua kwa msaada wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama!
 
Huo uchaguzi wa mfano ulifanikishwa na Mbowe na sekretarit yake. Hao ambao Chadema ya leo inawaita wasaliti. Mwenyekiti wa sasa alisema hana uwezo wa kuchangia. Halafu kuna watu wanabeza mchango wa Mbowe kwa Chadema na kusema legacy yake imeharibiwa.

Amandla...
 
Back
Top Bottom