Kitakachokukwamisha Waziri Lukuvi kuiokoa NHC hiki hapa


Yaani u are very smart I wish to meet you at least once.
Unaweka CEO ambae hajawahi kuwa hata na genge la nyanya kwenye shirika la hadhi ya kitaifa. No delivery no output.
Tunahitaji mawazo haya positive sio CCM ,CHADEMA MBOWE MAGUFULI RUBBISH.
 
Umeongea ukweli mchungu. Tatizo ni ubovu wa sera za kiuchumi za Magufuli. Lakini kwanini alaumiwe Nehemia wakati kuna mkurugenzi mwingine ambaye kama ni mtendaji mzuri angeweza kuliokoa shirika? Au wanataka kusema misingi iliyojengwa na Nehemia "imepigwa pini" kwamba haiwezi kurekebishwa?
 
Si waniuzie tu hili shirika? Tangu mchechu atimuliwe nimejitahidi sana kuwashawishi waniuzie hili shirika lakini wapi?
 
Tatizo ni madeni aliyoacha nyuma na investment ambazo kunatofauti kati ya book value na market value.

That needs sorting out first ili shirika liweze badilika vinginevyo hakuna faida ya kufanya investment zingine zozote labda waongeze madeni.
 
Ahsante
 

Kilatha, nimesoma kwa umakini ufafanuzi wako - tuwe wakeli hapa, wewe kichwa sana inaonekana wazi wazi una uelewa mkubwa wa masuala haya - mataifa ya wenzetu, wanakuwepo watu Serikalini ambao upitia maoni ya raia kwenye media - kazi ni kubaini raia ambao hawapo Serikalini lakini wanaweza kuwa msaada mkubwa katika utatuzi wa wanasuala yaliyo shindikana kwa nini mtu kama wewe ambaye unaonekana ni mega smart upstairs endowed with splendid analytical mind wasikufanye hata consultant wa Wizara ya Lukuvi u-deal na ujinga huu unaoendeshwa kwenye shirika la NHC, mimi nina wasi wasi kwamba hata hizi financial statements ni za kisanii sana, wakitafutwa a trurly independent auditors preferrable kutoka nje, watahibua madudu mengi sana, sio kwa NHC tu bali hata mashirika ya hifadhi za jamii nk.

Mtu unabaki unajiuliza maswali mengi: Board Chairperson wa NHC ni PhD holder, Director General ni PhD holder lakini cha ajabu inaonekana ubunifu ni borderline kabisa - siwasemi vibaya, wengine wanajitahidi sana, bottom line is: hii dhana inayo jengeka kwamba PhD holders ndiyo watakuwa ni cure all like Panadol/Asprin kwa matatizo yote yanayo likumbau Taifa letu - logic behid dhana hii unipa wakati mgumu kuilewa - mbona Mataifa ya Ulaya na Merikani na baadhi mataifa ya Afrika Serikali zao zinaongozwa na raia wenye shahada ya kwanza au ya pili na wengine hawana kabisa mfano mzuri ni John Major Uingereza, Jacob Zuma sijui kiwango cha elimu cha Ramaphosa ni kipi - sasa sisi huwa tunataka ku-prove nini Duniani, kwamba Tanzania ina kiwango kikubwa shahada za uzamivu per capita kwenye Serikali na Mashirika ya Umma kuliko Nchi zilizo endelea ili iweje, tuna upungufu mkubwa wa walimu wa vyuo vikuu, kwa nini hao hawapelekwi huko kufundisha badala ya kuteuliwa kisiasa.
 
Shukran mkuu wapo vijana wengi wa kitanzania kwenye private sector wenye position kubwa by merit na uwezo kushida mimi; awana tu muda na habari za siasa.

Shida ni succession planning yetu serikalini; watu wanapewa nafasi without due processes.
 
Katika uwanda mpana nchi zinaongozwa na usalama wa taifa. Bahati mbaya ni kwetu. Usalama wa taifa wote ni UVCCM, na Pro-CCM

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni utawala wa mabavu mkuu
 
Umeongea mengi sn mkuu lakini bila kubinafisisha hili shirika hakuna kitu kitaendelea
 
Makada wamejaa humo
Yes, wote wanakisik8liza Chama na viongozi wake, wote wapo kupiga pesa. Unatarajia nini? Nchi inayojiendesha kwa miundo ya 1970s katika miaka ya 2020s
 
Serikali, na hasa Serikali ya Tanzania haijawahi kufanya biashara yoyote kwa faida.

Ndege hasara, TANESCO hasara, TTCLA hasara, Reli hasara, Maji hasara, Posta hasara, Korosho hasara, kila mahali ni hasara. Mbaya zaidi Magufuli anaiondoa biashara kwa sekta binafsi inayoweza na kuipeleka Serikalini!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mawazo yenu kama Lukuvi yupo serious akasoma jinsi mnavyochambua na kutiririkwa kwa hoja makini Nathani Rais kupitia nyinyi anaweza kulibadirisha shirika hili kutoka kwenye miradi isiyonatija
 
Kuna Jamaa anaitwa Inginea Gogadi Super Tall , msanifu Mkuu Wa magengo , siku alipopewa atakayoyafanya mkutugenzi mpya Nehemiah kwenye utawala wake yeye ndani ya miezi miwili aliomba kustaafu akiwa na miaka 55 maana aliona wanaenda kutengeneza madudu akaona asiwe miongoni mwao

Tatizo ni madeni aliyoacha nyuma na investment ambazo kunatofauti kati ya book value na market value.

That needs sorting out first ili shirika liweze badilika vinginevyo hakuna faida ya kufanya investment zingine zozote labda waongeze madeni.
 
90% ya waliofaidika ni majengo ya dhehebu la katoliki.
Waulize watu waliokuwa wakiishi upanga na mjini maeneo yenye nyumba nyingi za NHC, watakueleza.

Miaka ya mzee Mwinyi alizirudisha zote au wenye mali waliingia makubaliano mapya na serikali kwa utashi wao.

Binafsi nayajua maghorofa kadhaa ya wahindi waliorudishiwa.
 
Tatizo ni madeni aliyoacha nyuma na investment ambazo kunatofauti kati ya book value na market value.

That needs sorting out first ili shirika liweze badilika vinginevyo hakuna faida ya kufanya investment zingine zozote labda waongeze madeni.
Hii ni awamu ya mwisho ya rais "mchapakazi na mzalendo". Tutarajie nini kwa shiriki hili baada ya "kuharibiwa" na Nehemia wa enzi za JK; litastawi au litaendelea kuporomoka zaidi?
 
Hii ni awamu ya mwisho ya rais "mchapakazi na mzalendo". Tutarajie nini kwa shiriki hili baada ya "kuharibiwa" na Nehemia wa enzi za JK; litastawi au litaendelea kuporomoka zaidi?
Tatizo la watu kama wewe (I must say) watanzania wengi tulivyo kila kitu in life is very simple ndio maana maendeleo yetu ya mmoja yanasua sua sana.

Hizi ndio sababu unakuta mtu anakufanyia mambo ya kipuuzi, yenye athari kubwa kwenye maisha/biashara ya mtu halafu yeye anachukulia poa tu; baada ya hapo utasikia si nimekuomba msamaha sasa nifanye nini tena.

Ndio kama mtazamo wako eti si ameshatolewa kinachowashinda kubadilisha mwenendo wa shirika ni nini?

Hilo shirika lingekuwa ni biashara binafsi sasa hivi administrator angekuwa ashaitwa kufanya shughuli ya asset stripping.

Uwezi ku survive wakati majukumu ya madeni yako kwa mwaka ni over 1000% ya unachotengeneza kama faida.

Isingekuwa ni mali ya serikali sasa hivi watu wanafanya hesabu za debt/asset ratio kwa haraka ili kulipa madeni inabidi wauze 30% ya assets zao na wakisema wafanye revaluation ya asset zenyewe to current market value si ajabu over 40% ya mali zao inabidi ziuzwe.

Halafu anatokea mtu kama wewe unaedhani kuligeuza hilo shirika ni shughuli rahisi kama unavyo log in na ku type JF.

Hapo bila ya msaada wa serikali usitarajie miujiza, kutokana na madhara aliyoacha huyo mtu unaetaka kumtetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…