Uchaguzi 2020 Kitakachombeba Tundu Lissu uchaguzi 2020

Sichangii lolote , umemaliza kila kitu !
 
Lissu hauziki, habebeki wala hanunuliki kwa watanzania smart ila kwenu manyumbu wa Mbowe mbebeni tu.
 
Slogan za CCM kuanzia mwaka 2005 Hari mpya, kasi mpya na nguvu mpya wakaja 2010 ya hari zaidi na ile ya 2015 ya hapa kazi tu walikopi za club ya Yanga sasa mwaka huu Yanga wamefulia hata slogan wakashindwa kuandaa hivyo CCM wakakosa cha kukopi.
 
Hiyo slogani unaijua wewe na huyo rais wako sijui mnaitumia mkiwa wapi
 
Hizi slogan za SGR, stiglaz, ndege mpya kwa cash, na flyover huzisikii mkuu...
 
Yaani Rais Magufuli angekuwa na kipaji cha communication skills/public speaking angekuwa pengine rais bora kuwahi tokea Afrika, sambamba na viongozi wengine style za JK Nyerere, Nelson Mandela na Kwame Nkrumah.

Kinachombeba Lissu pale ni ujasiri na uwezo wake wa kuongea tu.
 
Kila wana CCM wakifanya tathimini zao, hesabu wanaziona hazisomeki. Kivuli cha Tundu Lissu kimewafunika, wemekosa majibu juu ya hoja zake. Mola amewakataa na hata Ibilisi mwenyewe amekaa mbali nao.

It is not only about thier mediocrities but also their altogether obtuse ability to influence potential voters in this year presidential campaign. Indeed they are rejected once more again.
 
Hawa wauza mboga, mkaa,machinga hizo dili walizipigia wapi.
Uliwahi ona wapi watu kusomeshwa namba ili uchumi ukue
 
Mwaka 2015 watu waliichoka ccm na sio mgombea yaani mgombea ndie aliyeibeba ccm, 2020 vyote vimechokwa baada ya mgombea kulewa pombe ya madaraka na kuanza kufanya asivyotumwa na wananchi mfano kutumia Kodi zetu kupambana na upinzani badala ya umasikini wetu. Kubomoa utaifa wetu, kuumiza watu, kubambika kesi, kuuwa uchumi, diplomasia, kuzima bunge live ili watu wasijue upigaji, kuzuia vyombo vya habari ili kulinda ufisadi usijulikane, kuwasomesha watz namba ili kuwakomoa, kuwabomolea watu nyumba zao.
 
Kuichagua tena ccm ni sawa na kumkopesha tena unaemdai
 
nyie kaeni mnamtia ujinga mwanasheria nguli.
 
Kahawa katika ubora wake
 
Nani kakuambia kuwa hakuna slogan na slogan ndio kuongoza nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…