Uchaguzi 2020 Kitakachombeba Tundu Lissu uchaguzi 2020

Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama

Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru, Haki na Maendeleo.

CCM ya Magufuli kutokuwa na slogan kwa Mara ya kwanza toka tupate uhuru.

Mwalimu Nyerere alikuwa na slogan ya Uhuru na umoja, Uhuru na madeleo,

Akaja pia na slogan ya maadui watatu Yaani ujinga maradhi na umasikini.

Mwinyi alikuja na Ruksa

Mkapa akaja na ubinafisishaji, uwekezaji na Serikali ya viwango

Kikwete akaja na Maisha Bora kwa kila mtanzania

Pia kilimo kwanza

Sasa hapa kazi imefeli hana slogan anaenda enda tu hawapi wanachi matumaini .

Anguko la Magufuli lipo wazi uchaguzi huu ni kiongozi hasiye na dira kwa taifa lake.
Sichangii lolote , umemaliza kila kitu !
 
Lissu hauziki, habebeki wala hanunuliki kwa watanzania smart ila kwenu manyumbu wa Mbowe mbebeni tu.
 
Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama

Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru, Haki na Maendeleo.

CCM ya Magufuli kutokuwa na slogan kwa Mara ya kwanza toka tupate uhuru.

Mwalimu Nyerere alikuwa na slogan ya Uhuru na umoja, Uhuru na madeleo,

Akaja pia na slogan ya maadui watatu Yaani ujinga maradhi na umasikini.

Mwinyi alikuja na Ruksa

Mkapa akaja na ubinafisishaji, uwekezaji na Serikali ya viwango

Kikwete akaja na Maisha Bora kwa kila mtanzania

Pia kilimo kwanza

Sasa hapa kazi imefeli hana slogan anaenda enda tu hawapi wanachi matumaini .

Anguko la Magufuli lipo wazi uchaguzi huu ni kiongozi hasiye na dira kwa taifa lake.
Slogan za CCM kuanzia mwaka 2005 Hari mpya, kasi mpya na nguvu mpya wakaja 2010 ya hari zaidi na ile ya 2015 ya hapa kazi tu walikopi za club ya Yanga sasa mwaka huu Yanga wamefulia hata slogan wakashindwa kuandaa hivyo CCM wakakosa cha kukopi.
 
Msimfariji tu mzee wa watu bure ! Mwambieni tu ukweli hawezi kupata hata asilimia kumi za kura za watanzania. Baaada ya 28 oct mtamuona anarudi kwao ubelgiji ! Unasema JPM hana slogan nikuambie tu labda hujui! Slogan ya JPM ni hii " Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja!" .. Yaani kuna kuna mgombea ana ahadi hewa! Na mwingine ana vitu tangible/Reality .. Tumechagua kwenda na reality ,tarehe 28 Oct!.
Hiyo slogani unaijua wewe na huyo rais wako sijui mnaitumia mkiwa wapi
 
Hizi slogan za SGR, stiglaz, ndege mpya kwa cash, na flyover huzisikii mkuu...
 
Yaani Rais Magufuli angekuwa na kipaji cha communication skills/public speaking angekuwa pengine rais bora kuwahi tokea Afrika, sambamba na viongozi wengine style za JK Nyerere, Nelson Mandela na Kwame Nkrumah.

Kinachombeba Lissu pale ni ujasiri na uwezo wake wa kuongea tu.
 
Kitakachombeba Tundu Lissu mwaka huu ni yeye Kama mgombea kuuzika as personal yaani anakibeba chama

Kingine ni yeye kuja na slogan ya Kipekee kabisa toka kuanzishwa kwa vyama vingi ya uhuru, Haki na Maendeleo.

CCM ya Magufuli kutokuwa na slogan kwa Mara ya kwanza toka tupate uhuru.

Mwalimu Nyerere alikuwa na slogan ya Uhuru na umoja, Uhuru na madeleo,

Akaja pia na slogan ya maadui watatu Yaani ujinga maradhi na umasikini.

Mwinyi alikuja na Ruksa

Mkapa akaja na ubinafisishaji, uwekezaji na Serikali ya viwango

Kikwete akaja na Maisha Bora kwa kila mtanzania

Pia kilimo kwanza

Sasa hapa kazi imefeli hana slogan anaenda enda tu hawapi wanachi matumaini .

Anguko la Magufuli lipo wazi uchaguzi huu ni kiongozi hasiye na dira kwa taifa lake.
Kila wana CCM wakifanya tathimini zao, hesabu wanaziona hazisomeki. Kivuli cha Tundu Lissu kimewafunika, wemekosa majibu juu ya hoja zake. Mola amewakataa na hata Ibilisi mwenyewe amekaa mbali nao.

It is not only about thier mediocrities but also their altogether obtuse ability to influence potential voters in this year presidential campaign. Indeed they are rejected once more again.
tapatalk_1564750429057.jpg
 
Magufuli anaenda sera ya hapa kazi tu kama wewe ni mzembe huwezi kuelewa Ndio maana wale waliozoea maisha ya kiujanja janja km nyie mnabweka

Chadema hatujasahau mlisema kilimo kwanza ya kikwete ni kwa ajili ya viongozi sio wakulima, Vipi leo mmesahau

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Hawa wauza mboga, mkaa,machinga hizo dili walizipigia wapi.
Uliwahi ona wapi watu kusomeshwa namba ili uchumi ukue
 
Mwaka 2015 watu waliichoka ccm na sio mgombea yaani mgombea ndie aliyeibeba ccm, 2020 vyote vimechokwa baada ya mgombea kulewa pombe ya madaraka na kuanza kufanya asivyotumwa na wananchi mfano kutumia Kodi zetu kupambana na upinzani badala ya umasikini wetu. Kubomoa utaifa wetu, kuumiza watu, kubambika kesi, kuuwa uchumi, diplomasia, kuzima bunge live ili watu wasijue upigaji, kuzuia vyombo vya habari ili kulinda ufisadi usijulikane, kuwasomesha watz namba ili kuwakomoa, kuwabomolea watu nyumba zao.
 
Kuichagua tena ccm ni sawa na kumkopesha tena unaemdai
 
Magufuli anaenda sera ya hapa kazi tu kama wewe ni mzembe huwezi kuelewa Ndio maana wale waliozoea maisha ya kiujanja janja km nyie mnabweka

Chadema hatujasahau mlisema kilimo kwanza ya kikwete ni kwa ajili ya viongozi sio wakulima, Vipi leo mmesahau

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Kahawa katika ubora wake
 
Nani kakuambia kuwa hakuna slogan na slogan ndio kuongoza nchi.
 
Back
Top Bottom